Umekuwa tukikimbisana kutafuta mapesa kila iitwapo leo... Sasa hapo msemo upi umekuwa ukikupekeka mchakamchaka Kati ya pesa zako kumalisa iyo matatiso unasopata AU tatiso ndosinasomalisiia pesa yako!
Kuna matatizo hayamalizwi kwa fedha, ila fedha inamalizwa na hayo matatizo. Pia kuna matatizo huondolewa kwa fedha kama kupata makazi bora, usafiri bora na lishe bora.