Pesa ikishakua sio tatizo, hafu umri umeenda enda, unanunua zako camper van au RV ku-enjoy trips

Pesa ikishakua sio tatizo, hafu umri umeenda enda, unanunua zako camper van au RV ku-enjoy trips

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kwa walop Under 50 ngumu sana kuelewa, ila mafaza, ushafanya Fujo sana kilichobaki kwenye retirement ni kuzunguka Tanzania nzima na nchi za jirani.
1515.webp

Sasa kuinjoy safari, unakua zako na camper van au recreation vehicle. Maisha murua.
1516.webp

Ingawa Bei zake za moto, kununua na kurun, ila kama ulishatafuta sana enzi zako, unaamua tu kujilipua.
1517.webp

Ndani Lina sehemu ya kulala (mengine ata watu zaidi ya watatu), sitting room, simple toilet, kitchen, na sehemu ya dereva.
1518.webp

Unapack maji Safi na kumwaga maji taka kama mabasi yenye vyoo yanavyofanya, pia zina AC au heater.
1519.webp

Kama una mtoto mmoja au wawili wadogo, wanaweza kujoin kwenye trip.

Uzuri wake ukifika sehemu yoyote salama, mnapark, mnapika au mnalala.

Maisha mazuri.
 
Hivi kwenye bus uwa inakuja, uwa nawaza kila mtu anajua naingia toi wanaanza nihesabia sekunde, zikizidi 120 wanajua maana anashusha
Bus za Mwanza wasukuma wanajitahidi kuchafua hali ya hewa. Konda anawakataza msijisaidie haja kubwa lakini wapi ndo kwanza wapo kushindana kunya..!!

Bus zinanuka hewa chafu, hilo kabila halina ustaarabu kabisaa..!! Ptyuuuu
 
Back
Top Bottom