Pesa ikishakua sio tatizo, hafu umri umeenda enda, unanunua zako camper van au RV ku-enjoy trips

Pesa ikishakua sio tatizo, hafu umri umeenda enda, unanunua zako camper van au RV ku-enjoy trips

Ukienda Arusha utakutana na haya magari hasa ngorongoro.
Ukiishi haya maisha lazima ufikishe miaka 90 Hadi 100 ya kuishi hapa duniani
Hamna kupigana risasi. Stress za jiji hamna kabisa.
 
Bus za Mwanza wasukuma wanajitahidi kuchafua hali ya hewa. Konda anawakataza msijisaidie haja kubwa lakini wapi ndo kwanza wapo kushindana kunya..!!

Bus zinanuka hewa chafu, hilo kabila halina ustaarabu kabisaa..!! Ptyuuuu
😂😂😂
 
Camper van sio realistic kwa maisha ya bongo
Hapo upate 4x4 halafu unavuta caravan trailer , utakwenda popote unapotaka
Ni maisha mazuri sana kama pesa ipo
1523.jpg

Option nzuri sana hii. Unaweza kua cheaper pia.
 
Huku Bongo zitakuwa ghali sana hizi?
Nimeona za Toyota be forward, dah za moto. Bora idea ya kununua caravan.
1523.jpg

Unakua unaivuta hivo. Ukiwa hauitumii unaipark gari lako linaendelea na matumizi mengine
 
Back
Top Bottom