Pesa ilikataliwa wakaamua kuvaa jezi za kijani wakijua kinachoweza kuwakuta

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nilipata za ndaani kabisa kutoka kwa mtu wa Ihefu kuwa walitengewa 20M iwapo wangefungwa, na iwapo wangetoa sare 15M iliwahusu. Hata hivyo baadhi ya viongozi wakakataa na kuamua mechi ichezwe na kwamba wanazihitaji pointi 3.

Prison pandisheni dau hadi 40M,maana za Ihefu hazikutoka.Najua watauhitaji ushindi kwa udi na uvumba mechi ijayo,kabla ya makomandoo wao kutoa matamko.Na kwa jinsi hiyo,ombeni hata 50M. Ila mwe makini tu kuna baadhi ya wachezaji wanaweza kuwazunguka.

Waamuzi nanyi ongezeni dau,tumemisi goal corner. Tunatarajia mwendelee kuua move za timu pinzani ili wasifunge tena.

Ushindani wa kweli ni mechi za kimataifa. Hongereni Ihefu kwa kutoendekeza njaa.
 
Ivi wananunua kweli au Ni hadithi tu
 
Alianza kutu uzia Simba kwenye Ngao.
 
FB_IMG_16667008322281636.jpg
 
Nilipata za ndaani kabisa kutoka kwa mtu wa Ihefu kuwa walitengewa 20M iwapo wangefungwa, na iwapo wangetoa sare 15M iliwahusu. Hata hivyo baadhi ya viongozi wakakataa na kuamua mechi ichezwe na kwamba wanazihitaji pointi 3.

Prison pandisheni dau hadi 40M,maana za Ihefu hazikutoka.Najua watauhitaji ushindi kwa udi na uvumba mechi ijayo,kabla ya makomandoo wao kutoa matamko.Na kwa jinsi hiyo,ombeni hata 50M. Ila mwe makini tu kuna baadhi ya wachezaji wanaweza kuwazunguka.

Waamuzi nanyi ongezeni dau,tumemisi goal corner. Tunatarajia mwendelee kuua move za timu pinzani ili wasifunge tena.

Ushindani wa kweli ni mechi za kimataifa. Hongereni Ihefu kwa kutoendekeza njaa.
Taahira la umbumbuni kazini, kabla ya mechi mbona ukupost huu utumbo wako, Ihefu imekuwa msaada kwenu eti,, nyie mlipewa bei gani mbona mmekuwa wateja wa kudumu,
 
Najua msimu mzima mnawekeza ili kumfumga mnyama hakuna asiyejua jinsi waamuzi wanavyotumika kuua move za wapinzani ili wazifunge.

Naamini wewe utakuwa zaidi ya taahira kujibu msg ya taahira.
 
Back
Top Bottom