Nilipata za ndaani kabisa kutoka kwa mtu wa Ihefu kuwa walitengewa 20M iwapo wangefungwa, na iwapo wangetoa sare 15M iliwahusu. Hata hivyo baadhi ya viongozi wakakataa na kuamua mechi ichezwe na kwamba wanazihitaji pointi 3.
Prison pandisheni dau hadi 40M,maana za Ihefu hazikutoka.Najua watauhitaji ushindi kwa udi na uvumba mechi ijayo,kabla ya makomandoo wao kutoa matamko.Na kwa jinsi hiyo,ombeni hata 50M. Ila mwe makini tu kuna baadhi ya wachezaji wanaweza kuwazunguka.
Waamuzi nanyi ongezeni dau,tumemisi goal corner. Tunatarajia mwendelee kuua move za timu pinzani ili wasifunge tena.
Ushindani wa kweli ni mechi za kimataifa. Hongereni Ihefu kwa kutoendekeza njaa.