Pesa ina uhai na hupenda kuheshimiwa, wahenga walisema

Pesa ina uhai na hupenda kuheshimiwa, wahenga walisema

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,158
Ukipata pesa iheshimu, si kwakua una mamlaka nayo basi uitumie unavyotaka, hapana. Kabla hujatumia pesa jiulize
  • Kwa nini?
  • Nani?
  • Wapi?
  • Wakati gani?
Ukishapata majibu yapime yakileta maana ndiyo utumie pesa. Pesa ina uhai na inaona matumizi. Kama matumizi yako ya pesa ni mabaya inakimbia bila kukuaga.
 
Back
Top Bottom