Ukipata pesa iheshimu, si kwakua una mamlaka nayo basi uitumie unavyotaka, hapana. Kabla hujatumia pesa jiulize
Kwa nini?
Nani?
Wapi?
Wakati gani?
Ukishapata majibu yapime yakileta maana ndiyo utumie pesa. Pesa ina uhai na inaona matumizi. Kama matumizi yako ya pesa ni mabaya inakimbia bila kukuaga.