Pesa inatafutwa mguu kwa mguu ( CHADEMA Kazini )

Pesa inatafutwa mguu kwa mguu ( CHADEMA Kazini )

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
Ila ndio hivyo, ukisikia pesa inatafutwa. Hapa Wananchi hawana Maisha magumu tena

IMG_20220409_163317.jpg


IMG_20220409_163315.jpg


IMG_20220409_163312.jpg


IMG_20220409_163309.jpg
 
Naona mkuu wa TRA ameamua kuingia mtaani mwenyewe
 
We ona tu kama omba omba, wenzio wanajua wanachokifanya hapo. Hiyo interaction inayofanyika hapo ni zaidi ya mikutano ya hadhara iliyokataliwa
 
Back
Top Bottom