Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Haha babe jamaniPesa kidogo tu umeanza kukimbia asubuhi.
Pesa kidogo tu Kigoma unaita KGTInaonyesha unazo pesa wewe, maana pesa kidogo tu ndala unaziita kandambili
eti wanakusumbua..😂Pesa kidogo umeanza kutopokea simu
[emoji16][emoji16][emoji16] Numby kupiga mswaki ni pesa au usafi
Pesa kidogo tu unaanza kusema watanzania muache mikumboNdio nini sasa..
Watanzania muache kufuata mikumbo!
[emoji16][emoji16][emoji16] hii komenti nimemsomea jirani yangu hapa ameweka miguu mezaniPesa kidogo tu unaanza kuweka miguu mezani