Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Pesa kidogo eti huwezi kuangalia video za connection
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji38] huyo nae atakuwa ni wa pesa kidogo. Au wa laki si pesa[emoji16][emoji16][emoji16] hii komenti nimemsomea jirani yangu hapa ameweka miguu mezani
Waganda wali wanakula na uma,Pesa kidogo tu wali unakula na uma
Pesa kidogo tu unaona wengine washambaAcha ushamba wewe.. Hapo ndio unajiona unaenda na wakaati kuanzisha uzi kama huu, sio?
Huyu mimi 😆 mpaka kuna siku yakanikuta supermarket moja nikauziwa nido efu 14 badala ya efu 11/12pesa kidogo tu umeanza kununua maziwa ya nido supermarket