mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Kudadeki utakuta mda huo amevaa taulo,vest na kitambi kimetokeza kama mpoki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pesa kidogo tu ukijenga kamsingi au kanyumba kila ukiamuka asubuhi na mswaki wako unaanza kukakagua,utazan umejenga flyover