Pesa kutoka Safaricom kwenda Vodacom M-Pesa

Pesa kutoka Safaricom kwenda Vodacom M-Pesa

pecial

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
734
Reaction score
555
Jamani nimetumiwa pesa kutoka Kenya kwa kutumia Safaricom kuja kwa M-Pesa yaani kwenye namba yangu ya Voda ila ni nusu saa sasa haijafika.

Kwa wale mliowahi tumiwa pesa kwa safaricom hebu nisaidieni uzoefu, huwa inachukua muda gani kupata pesa?
 
Ishaingia hiyo.... Cheki salio au tuma pesa kwa mtu.
 
Mbona ni right away mimi kila jumatano nahamishaga ela safaricom to mpesa
 
Muulize mtumaji alitumajetumaje?sometimes inasumbuaga
 
Muulize mtumaji alitumajetumaje?sometimes inasumbuaga
Ametuma kutoka kwenye account yake ya safari com kuja kwa mpesa yangu na amenitumia screen shot pesa kwake inaonekana imeshatoka.
 
Back
Top Bottom