Pesà na siasa ni vitu vinavyohusiana pakubwa

Pesà na siasa ni vitu vinavyohusiana pakubwa

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Ile kauli ya kusema pesa ndo kila kitu hakika wahenga hawakukosea kwani hili jambo kwenye siasa zetu za bongo limekuwa na nafasi kubwa mno

Viongozi na makada mbalimbali huingia sana katika huu mtego wa pesa na hapa ndipo unapokuja kugundua kuwa hakuna mapenzi ya dhati kwa watu ila ni tamaa za pesa na madaraka ndizo zinaendesha tamaa za watu

Umefika na umekaribia ule muda ambao nguvu ya pesa itatumika kuliko nguvu ya maono katika ujenzi wa taifa letu

Tubaki kusema kuwa wanasiasa sio watu wakuaamini sana kwani siasa ni kazi na siku zote kazi huwa ina malipo na malipo yake ni pesa na ndomana tunasema siasa ni mtaji

Vijana tuepuke kufuata mkumbo na upepo wa vitu au jambo fulani
 
Ni Tanzania tu, mtu anaingia Kwa siasa ili awe na Hela.


Wenzetu wenye Hela wanaingia kwenye siasa ili Kusaidia watu.
 
Back
Top Bottom