Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
True halafu anakua mkali na kujenga uadui usio na sababu ila tu kupotezea deni,katika maisha Haya usimkope ndugu,jirani au rafiki Pesa kama unafanya hivyo fanya kama sadaka kwamba akilipa sawa na asipolipa sawaPesa chanzo cha ugomvi , ukimkopesha mtu anaingiwa na fikra za kutolipa
Miezi miwili nilimkopesha jamaa safi tu , tunachat daily yaani laki 2 ana mshahara wa million 5 kabla ya makati sema ana mkopo ..True halafu anakua mkali na kujenga uadui usio na sababu ila tu kupotezea deni,katika maisha Haya usimkope ndugu,jirani au rafiki Pesa kama unafanya hivyo fanya kama sadaka kwamba akilipa sawa na asipolipa sawa
Yaliyonikuta Mwaka juzi yalinipa funzo sana mkuu!
Duh itabid uende mtafuta maana kakublock.Miezi miwili nilimkopesha jamaa safi tu , tunachat daily yaani laki 2 ana mshahara wa million 5 kabla ya makati sema ana mkopo ..
Baada ya kupokea kala kona kimya hajibu meseji aliniahidi siku 10 mbeleni maana ilikuwa around trh 12 mpaka 23 anapata mshahara, hapa status zake sioni tena whatsap ...Nishajua kila kitu na alikuwa ni last hope kwa ninaowaamini.
Yaani kuna jitu utaliheshimu kama li mtu la maana kumbe hopeless kabisa na mimi tukio lilinikuta kwa jamaa niliyedhani anajitambua kumbe jingaz kabisaaMiezi miwili nilimkopesha jamaa safi tu , tunachat daily yaani laki 2 ana mshahara wa million 5 kabla ya makati sema ana mkopo ..
Baada ya kupokea kala kona kimya hajibu meseji aliniahidi siku 10 mbeleni maana ilikuwa around trh 12 mpaka 23 anapata mshahara, hapa status zake sioni tena whatsap ...Nishajua kila kitu na alikuwa ni last hope kwa ninaowaamini.
Ni kweli acha tu ...Kuna mambo ynachekesha sanaYaani kuna jitu utaliheshimu kama li mtu la maana kumbe hopeless kabisa na mimi tukio lilinikuta kwa jamaa niliyedhani anajitambua kumbe jingaz kabisaa
Now nimejifunza Watu wengi wa hii nchi ni vilaza first class na uaminifu ni zero siku nikija fanikiwa kuwa na Kampuni hakuna Jamii yoyote ya watu weusi watawahi pewa vitengo Nyeti pumbaf kabisa na ndio maana watu weusi ni kama Cursed hivi uaminifu zero na kama tutabahatika kwenda Paradise napendekeza Mungu atuweke siti za nyuma (Uswazi ya Peponi)
Maana Dunia yenyewe imetushinda sembuse huko!
ππ
Kweli mkuu, huyu jamaa kafanya hivyo mimi naelewa kila kitu , mda mwingine nakosa kuamini watanzania wenzangu kabisa.Duh itabid uende mtafuta maana kakublock.