Pesa ni shetani

Pesa ni shetani

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
PESA NI CHANZO CHA MAOV

Watu wengi mno si waaminifu kabisa kwenye masuala ya PESA. Tatizo ni malezi au hii ni hulka tu tunayoiendekeza ukubwani?

Hili janga limewahi kukukuta la mtu kukosa uaminifu?
FB_IMG_17186197765917321.jpg
Ilikuwaje?

Umewahi kudhulumu pesa ya mtu aliyekukopesha, aliyekupa ufanye kazi, aliyekununulia kitu ili umrejeshee pesa baadaye?
 
Pesa chanzo cha ugomvi , ukimkopesha mtu anaingiwa na fikra za kutolipa
True halafu anakua mkali na kujenga uadui usio na sababu ila tu kupotezea deni,katika maisha Haya usimkope ndugu,jirani au rafiki Pesa kama unafanya hivyo fanya kama sadaka kwamba akilipa sawa na asipolipa sawa
Yaliyonikuta Mwaka juzi yalinipa funzo sana mkuu!
 
Miezi miwili nilimkopesha jamaa safi tu , tunachat daily yaani laki 2 ana mshahara wa million 5 kabla ya makati sema ana mkopo ..

Baada ya kupokea kala kona kimya hajibu meseji aliniahidi siku 10 mbeleni maana ilikuwa around trh 12 mpaka 23 anapata mshahara, hapa status zake sioni tena whatsap ...Nishajua kila kitu na alikuwa ni last hope kwa ninaowaamini.
 
Duh itabid uende mtafuta maana kakublock.
 
Miezi miwili nilimkopesha jamaa safi tu , tunachat daily yaani laki 2 ana mshahara wa million 5 kabla ya makati sema ana mkopo ..

Baada ya kupokea kala kona kimya hajibu meseji aliniahidi siku 10 mbeleni maana ilikuwa around trh 12 mpaka 23 anapata mshahara, hapa status zake sioni tena whatsap ...Nishajua kila kitu na alikuwa ni last hope kwa ninaowaamini.
Yaani kuna jitu utaliheshimu kama li mtu la maana kumbe hopeless kabisa na mimi tukio lilinikuta kwa jamaa niliyedhani anajitambua kumbe jingaz kabisaa
Now nimejifunza Watu wengi wa hii nchi ni vilaza first class na uaminifu ni zero siku nikija fanikiwa kuwa na Kampuni hakuna Jamii yoyote ya watu weusi watawahi pewa vitengo Nyeti pumbaf kabisa na ndio maana watu weusi ni kama Cursed hivi uaminifu zero na kama tutabahatika kwenda Paradise napendekeza Mungu atuweke siti za nyuma (Uswazi ya Peponi)
Maana Dunia yenyewe imetushinda sembuse huko!
😁😁
 
Pesa ni tamu sana asikwambie mtu.

Na uwe nazo halafu usiwe na magonjwa sugu.

Utaenjoy.

Ila sasa ajabu wenye fedha wengi wana magonjwa makubwa ya kutisha.
 
Yaani kuna jitu utaliheshimu kama li mtu la maana kumbe hopeless kabisa na mimi tukio lilinikuta kwa jamaa niliyedhani anajitambua kumbe jingaz kabisaa
Now nimejifunza Watu wengi wa hii nchi ni vilaza first class na uaminifu ni zero siku nikija fanikiwa kuwa na Kampuni hakuna Jamii yoyote ya watu weusi watawahi pewa vitengo Nyeti pumbaf kabisa na ndio maana watu weusi ni kama Cursed hivi uaminifu zero na kama tutabahatika kwenda Paradise napendekeza Mungu atuweke siti za nyuma (Uswazi ya Peponi)
Maana Dunia yenyewe imetushinda sembuse huko!
😁😁
Ni kweli acha tu ...Kuna mambo ynachekesha sana
 
Back
Top Bottom