Pesa Shetani!: Watu Utu Umewatoka Umebakia Unyama!. Mke Atamani Mume Angekufa Maji ili Apate Ile Milioni!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi

Haya ninayoyasema wengi mtayaona kama utani, ila ni kweli yametokea!.

Kiukweli kabisa, Pesa ni Shetani!. Watu Utu Umewatoka Kabisa Umebakia Unyama!. Kutokana na Kupigika Uchumi wa Magufuli, Pesa Imekuwa Ngumu Sana Kiasi Kwamba, Baada ya Rais Magufuli Kutoa Milioni 1.5 kwa kila aliyefariki, Kuna Watu Wametamani Ndugu Zao Ambao Hawana Faida, Bora Wangekufa tuu Maji Ukerewe, Kwenye Ajali ya Kivuko ili Familia Angalau Zipate Hiyo Milioni 1.5 ya Ubani wa Rais Magufuli kwa kila aliyekufa, kwa hoja kuwa baadhi ya ndugu zao ni hasara tupu, hata kama wangeishi maisha yao yote, wasingeweza hata kuleta 100,000 nyumbani, hivyo kama mtu kafa familia inapata million 1.5, then afadhali hata wangekufa!.

Mimi nimemsikia kwa masikio yangu mwenyewe, mama mmoja, akisema, kwa jinsi mume wake alivyo mlevi wa gongo, anahangaika na vimala.. mbwa kwenye bar za mataputapu, hana kazi yoyote ya maana zaidi kusubiri vibarua vya kubeba zege, hawezi hata kununua sare ya mtoto anayesoma St. Kayumba, huyo mama akasema anatamani mumewe angekuwepo kwenye hicho kivuko, hiyo miloni 1.5 ingebadili maisha yao!.

Hivi kweli huu umasikini wa kipato ni kweli umetufikisha hapa sisi Watanzania, hadi kukosa utu hivi, kuthamini pesa kuliko uhai!. Kuthamini kitu kuliko utu?. Hivi kweli Watanzania tumefikia stage ya unyama wa kiasi hiki mtu kutamani binadamu afe ili upate pesa?!.

Ningeweza hadi kulitaja jina la huyu mwanamke, ila sio busara kuusema kila ukweli unaousikia, ukweli mwingine is best if kept silent.
 
Umeamini sasa kwamba watu wako chakavu yaani pesa hakuna mifukoni mwao?

Kitendo tu cha kuombea bora flani angekufa ili tu apate ile laki tano ya ubani au hii milioni moja ni kipimo tosha kwamba vyuma vimekaza watu hawana pesa maisha ni magumu mno.

Kifo si cha kucompare na pesa ila siku hizi pesa ina dhamani kuliko uhai

.
 
Wanabodi

Haya ninayoyasema wengi mtayaona kama utani, ila ni kweli yametokea!.

Kiukweli kabisa, Pesa ni Shetani!. Watu Utu Umewatoka Kabisa Umebakia Unyama!. Kutokana na Kupigika Uchumi wa Magufuli, Pesa Imekuwa Ngumu Sana Kiasi Kwamba, Baada ya Rais Magufuli Kutoa Milioni 1.5 kwa kila aliyefariki, Kuna Watu Wametamani Ndugu Zao Ambao Hawana Faida, Bora Wangekufa tuu Maji Ukerewe, Kwenye Ajali ya Kivuko ili Familia Angalau Zipate Hiyo Milioni 1.5 ya Ubani wa Rais Magufuli kwa kila aliyekufa, kwa hoja kuwa baadhi ya ndugu zao ni hasara tupu, hata kama wangeishi maisha yao yote, wasingeweza hata kuleta 100,000 nyumbani, hivyo kama mtu kafa familia inapata million 1.5, then afadhali hata wangekufa!.

Mimi nimemsikia kwa masikio yangu mwenyewe, mama mmoja, akisema, kwa jinsi mume wake alivyo mlevi wa gongo, anahangaika na vimala.. mbwa kwenye bar za mataputapu, hana kazi yoyote ya maana zaidi kusubiri vibarua vya kubeba zege, hawezi hata kununua sare ya mtoto anayesoma St. Kayumba, huyo mama akasema anatamani mumewe angekuwepo kwenye hicho kivuko, hiyo miloni 1.5 ingebadili maisha yao!.

Hivi kweli huu umasikini wa kipato ni kweli umetufikisha hapa sisi Watanzania, hadi kukosa utu hivi, kuthamini pesa kuliko uhai!. Kuthamini kitu kuliko utu?. Hivi kweli Watanzania tumefikia stage ya unyama wa kiasi hiki mtu kutamani binadamu afe ili upate pesa?!.

Ningeweza hadi kulitaja jina la huyu mwanamke, ila sio busara kuusema kila ukweli unaousikia, ukweli mwingine is best if kept silent.
Mkuu umasikini wa familia uliotaja ni wa kujitakia,fedha mtaani ipo
 
1.5m mbona nyingi,zunguka kitaani mateja wanauana kisa Tsh 100 ,leo nimesikia kwenye redio wametangaza jamaa wameuana kisa redio ya Tsh 15,000 ni hatari,mama kaunguza mtoto kisa kapoteza Tsh 50 ni hatari,Dunia sasa imani imekwisha si kwa wazee si kwa vijana,kwenye watu 10 binaadamu mmoja.
 
Kazi kweli kweli shida so hela kaka mayala shida iliyopo hapa matendo ya hao ndugu kama huyo mme mlevi angekuwa anatenda mema kwa mke wake achilia mbali kulea familia asinge taman mme wake angekufa majo
 
Hahahaha zama zmebadilika Chief !!

Kama yule kichaa mwenye tatizo la akili, aliachwa miaka yote iyo na mabasi yanapita yanamuona,, mpaka akaja kuliwa na Simba.

Hili ni dogo mbona.
 
Nde pesaaa Mangi

yaani navyopenda pesa nikiendaga benki kisha nikakuta yale mapesa damu inavyozunguka sio kawaida.

Ila kwenye kivuko nilitamani jiwe angekuwepo mule yaani sasa hivi roho ingekuwa kwatuuuuu
 
Back
Top Bottom