amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 456
Kwelii kabisaaHata pesa inakuna
Kuna wanawake hawaeleweki wanahitaji nini...ukiwapa hela kesho yake wanataka Mashine..duuuh akili zao wanazijua wenyewePesa ina nafasi yake kwenye Love
na pesa siyo kila kitu kwenye mapenziPesa ina nafasi yake kwenye Love
Pesa haitii wewe...Kwelii kabisaa
huwezi kuelewa tunataka nini kama hujakaa chini na kuwaza kiundani sana usidhani pesa ndiyo kila kituHakuna siku hata moja ambayo wanawake wameeleweka kuwa wanataka nini.
Ikikosekana mapenzi hupungua...uongona pesa siyo kila kitu kwenye mapenzi
Pesa ni chachandu tuu kwenye mapenzi ..ila uwe na pesa uwe mbovu kitandani na kibamia chako wallah utagongewa sanaIkikosekana mapenzi hupungua...uongo
Awaze unataka nini??? We huwezi kumwambia unataka nini mpaka awaze???huwezi kuelewa tunataka nini kama hujakaa chini na kuwaza kiundani sana usidhani pesa ndiyo kila kitu