Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Churaaa
Kweli JF raha sana. Mama unatudanganya ati mashine ndo kila kitu. Naona umeona utuweke maboya tu. Tangu lini mwenye mashine kubwa akajulikana kwa kupita tu karibu na mwanamke?? Jaribu kwenda bank u droo mil 2 hivi za kurudisha kesho ili akaunti isije kuwa dormant. Ukipita karibu na vijisichana vya shule tuu utasikia shikamoo nyingi sana. Pita pale na ukwadu japo hogo la jang'ombe lininginie uone ka kuna hata mmoja atakuangalia. Ingelikuwa hivyo, tusingelikuwa na hao Mafutuhi na mafataki mitaani kwetu. Fweza ndo kila kitu. Mazishi ya tajiri utailinganisha na maskini mwenye hogo??
USIDANGANYIKE KWAMBA UNAWEZA KUMRIDHISHA MWANAMKE KWA CHOCHOTE .....KAMA MUNGU ALIWAPA NYUSI WAO WANANYOA NA KUCHORA ZAO ... Nini kukuna bhana! !!![emoji29][emoji24]Kuna wanawake hawaeleweki wanahitaji nini...ukiwapa hela kesho yake wanataka Mashine..duuuh akili zao wanazijua wenyewe
Mwanaume mashineMnatuchanganya sasa ...Moyo mashine au mwanamme mashine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]USIDANGANYIKE KWAMBA UNAWEZA KUMRIDHISHA MWANAMKE KWA CHOCHOTE .....KAMA MUNGU ALIWAPA NYUSI WAO WANANYOA NA KUCHORA ZAO ... Nini kukuna bhana! !!![emoji29][emoji24]
Haaaa umemaliza mkuu na usipime kwa chibu alivyojaliwa mzigo wa hajaAise na mgengendo pia una nafas yake huon, Zari the boss akatoka kwa jamaa yake Mungu amulehemu) japo zilikuwepo pesa za kumwaga kaja kwa kijana wa Tandale, huoni utofaut huo,,[emoji2][emoji2]
Haaaa wanaume wanatabu na siku hizi hawajiamini mara konyagi, mara pweza, mara kongo dust ili tuu waturidhishe ipo siku wakiambiwa wale mavi ni dawa ya nguvu za kiume watakulaHapa ndo huwa nawahurumia Wanaume coz wanawake hawajawahi kuwa na Chaguo sahihi wanataka nini hasa, wengine wanaume ma HB, wengine pesa kwanza,wengine Mashine, mwingine Juzi humu nikamsikia Anawambia wanaume waache kutumia spray waache kikwapa ndo kinatia mzuka,yaani taabu tupu
Neno..,,,shkamoo Pesa!Kweli JF raha sana. Mama unatudanganya ati mashine ndo kila kitu. Naona umeona utuweke maboya tu. Tangu lini mwenye mashine kubwa akajulikana kwa kupita tu karibu na mwanamke?? Jaribu kwenda bank u droo mil 2 hivi za kurudisha kesho ili akaunti isije kuwa dormant. Ukipita karibu na vijisichana vya shule tuu utasikia shikamoo nyingi sana. Pita pale na ukwadu japo hogo la jang'ombe lininginie uone ka kuna hata mmoja atakuangalia. Ingelikuwa hivyo, tusingelikuwa na hao Mafutuhi na mafataki mitaani kwetu. Fweza ndo kila kitu. Mazishi ya tajiri utailinganisha na maskini mwenye hogo??
Umeona!! Mi mwenyewe nawala kwa verse tu, kisha mlabisha dude yy mwenyewe anakuwa anailetaHaaaa umemaliza mkuu na usipime kwa chibu alivyojaliwa mzigo wa haja
Sasa DUME SURUALI imetokea wapiii?Kwa nini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na kwa hizo pesa zako mwanamke atatoka nje na kumhonga mwanaume mwenzio ili amridhishe kitandani amkune kisawasawa.. Mwanaume mashine bhana.. Sifa ya mwanaume mashineee....