Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

IMG_1514.JPG
IMG_0936.JPG

Pesa pesa na pesa tena tu!
 
Aise na mgengendo pia una nafas yake huon, Zari the boss akatoka kwa jamaa yake Mungu amulehemu) japo zilikuwepo pesa za kumwaga kaja kwa kijana wa Tandale, huoni utofaut huo,,[emoji2][emoji2]
Kijana wa Tandale maskini au? Coz yule aliishi tu Tandale,Zari kamkuta na pesa zake,akiwa haishi tena Tandale.pesa ndo kila kitu
 
Ni sawa pesa chibu alikuwa, lkn jiulize kama ni pesa kwann zari alitoka kwa huyo jamaa?
 
Kuna wanawake hawaeleweki wanahitaji nini...ukiwapa hela kesho yake wanataka Mashine..duuuh akili zao wanazijua wenyewe
Kaka ulikuwa unatafutwa Kule kwenye Uzi mwingine.Je ulishaenda? Au upo hapa kwanza. Mana nasikia una uwezo wa kuperuzi Majukwaa yoyote kasoro la mapishi.La mapishi VP?[emoji119]
 
Kwa nini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na kwa hizo pesa zako mwanamke atatoka nje na kumhonga mwanaume mwenzio ili amridhishe kitandani amkune kisawasawa.. Mwanaume mashine bhana.. Sifa ya mwanaume mashineee....
Huwezi kukumkuna mwanamke akiwa na njaa so pesa ni kila kitu hata ukiwa na mshipa utavumiliwa tu
 
Huwezi kukumkuna mwanamke akiwa na njaa so pesa ni kila kitu hata ukiwa na mshipa utavumiliwa tu
Pesa ni chachandu tuu mkuu ila uwe na pesa na usijue kutia vizuri utagongewa sana
 
Mi nilivyopata kazi mpz wangu aliongeza mawivu na mashauzi yaliisha kabisa
 
Kaka ulikuwa unatafutwa Kule kwenye Uzi mwingine.Je ulishaenda? Au upo hapa kwanza. Mana nasikia una uwezo wa kuperuzi Majukwaa yoyote kasoro la mapishi.La mapishi VP?[emoji119]
Hahahaha uwe unaniita jikoni sasa...sawa eee
 
Pesa ni chachandu tuu mkuu ila uwe na pesa na usijue kutia vizuri utagongewa sana
Utagongewa ila atajificha ili asiharibu kibubu chake ila ukiwa naachine matata huna hela utagongewa live na wenye pesa na hutakuwa na la kusema aisee
 
hizo hizo pesa unazosema sio kila kitu, ndio zinazofanya mtokwe akili kila siku.
professor wangu mmoja alishanambia usije ukajisumbua kujua mwanamke anapenda nini.
 
Me huwa siwaelewi hawa jinsia "KE" sanasana wa kizazi hiki cha simu janja...kila tukiamka wanaleta pending&loading UPDATES za wavipendavyo
 
huwezi kuelewa tunataka nini kama hujakaa chini na kuwaza kiundani sana usidhani pesa ndiyo kila kitu
Nyie hamridhiki kwa chochote kama Mungu tu kashindwa waridhisha mpaka nyusi alizowaumba nazo mnazinyoa ma kuzichora upya kwa penseli, sisi tutawezaje kuwaridhisha jamani?
 
USIDANGANYIKE KWAMBA UNAWEZA KUMRIDHISHA MWANAMKE KWA CHOCHOTE ....... KAMA MUNGU ALIWAPA NYUSI WAO WANANYOA NA KUCHORA ZAO ... wewe ni Nani
 
Back
Top Bottom