uzuri wa Aliyetuumba alituumba kwa namna ya pekee sana, dhana ya mapenzi Mungu aliiweka katika dhima ya msaidizi wa kufanana nae. unaweza kumpata mwenye hiyo mashine na pesa pia lakini kama si msaidizi wa kufanana na wewe bado hautaridhika tu. halafu mleta uzi inakupasa ufahamu kuwa wanawake mnatofautiana katika namna mnavyofika kilele sio wote mnaexperience vaginal orgasm wengine wanapata clitrolis orgasm pekee na pia sio wote mnapata wet orgasm wengine wana experience dry orgasm. alituumba ila hakutupa maungo yanayofanana ili kila mtu awe na mwanamke wa namna yake, wapo wanawake mwanaume mwenye uume mkubwa kwake si furaha bali tabu, kero na maumivu so hafurahi tendo, wapo wanawake mwanaume anayechelewa kukojoa ni kero,tabu na wala hafurahii tendo and the viceversa. halafu kwa afya ya mwili na akili sex si jambo la kila siku ila pesa ni muhimu sana kwa maisha baada ya kitandani. so hoja ya mleta mada is subjective ingekuwa ni general na objective basi maisha yasingesonga maana hatuwezi kuwa sawa wote.