Pesa Sio kila Kitu unajidanganya

Pesa Sio kila Kitu unajidanganya

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..

Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.

Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Afya bora, Kilimo

Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes

Unaenda kazini ili upate kula..
Linda Sana Amani na afya alafu kuwa na uhakika wa chakula mengine baaade

This is not poor mind
 
Huna pesa ujue una balaa tu hakuna amani, hiyo hiyo familia yako itahakikisha huna amani. Umewakusanya hapo ili uwashindishe njaa? Pona yako labda wakukimbie.
Afya bora
Utatibiwa na nani bure? Hata waganga wa jadi wanataka kuku mweusi au mweupe na wanapatikana sokoni ukiwa na pesa.
Kilimo

Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes
Utalima jembe utoe wapi na yanauzwa? Au utatumia mawe?
 
Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..
Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.

Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Afya bora
Kilimo

Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes

Unaenda kazini ili upate kula..
Linda Sana Amani na afya alafu kuwa na uhakika wa chakula mengine baaade

This is not poor mind
Kwani wee umeambiwa watu wanasaka lesa ili wale? Watu wanasaka pesa ili wageggede wanawake wazuri broo!
 
Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..

Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.

Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Afya bora, Kilimo

Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes

Unaenda kazini ili upate kula..
Linda Sana Amani na afya alafu kuwa na uhakika wa chakula mengine baaade

This is not poor mind
Lazima wavivu watapinga ukweli huu 🐒
 
una hoja usikilizwe
 
Jidanganye, utakuja kuujua ukweli umechelewa.

Kila jambo na wakati wake.

Tambua pesa ni stoo ya kila kitu. Hata mke wa bandia (mchepuko, one night short) ni pesa. Kwahiyo Money is a store of value and unit of account.

Sasa wewe jidanganye utawaona wenzio wanakula maisha.

Ukisema pesa sio kila kitu labda unapokuja upande wa Mungu, pale unaifanya pesa ya kwanza kisha Mungu wa pili. Mfano kuna mgonjwa, badala ya kumtanguliza Mungu akupatie uponyaji wewe unaingia tu kumpeleka hospitali nzuri yenye gharama kubwa na madaktari bingwa ukiamini utawalipa na watamtibu apone, au utampeleka India. Madaktari wa India wakishindwa ndio utasikia sasa tunamwachia Mungu. Hapo ndio ujue pesa sio kila kitu.

BTW Mungu kwanza halafu wewe kisha pesa. Pesa inakutumikia wewe kwa kubeba kila kitu.
 
Hiyo mungu kwanza ni mdomoni tu hauwezi kulipa Bill na mungu kwanza kamwe.
 
images (61).jpeg
 
Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..

Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.

Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Afya bora, Kilimo

Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes

Unaenda kazini ili upate kula..
Linda Sana Amani na afya alafu kuwa na uhakika wa chakula mengine baaade

This is not poor mind
Mkuu hayo mashamba kwanza unayatoa wapi bila pesa?

Pili unayalima vipi mana kilimo kinahitaji mtaji?

Tatu, je wewe umepoa tu, hufanyi shughuli yeyote ya kutafuta pesa?

Hata hivyo Maisha ni zaidi ya kula, Ukinyimwa chakula unaweza kusurvive siku7 kwa maji na siku5 bila maji, ukikosa hewa unakufa "Instantly" Hapo kipi muhimu zaidi kula au hewa?

Kila mtu angekua busy na kula haya maendeleo ya Teknolojia duniani yasingekuwepo.

Dunia ya sasa pesa ndiyo kila kitu, bila pesa ni sawa ile hadithi ya abunuasi mwisho inaishia analia kwa uchungu sufuria yake imekufa.
 
Physically HAUWEZI, Spiritually UNAWEZA.

Ukiamka umekata kamba hata hayo matrilioni hauwezi kuyalipa, uhai wako ni nini?

Hauwezi kupata pesa ya kulipa Bill bila Mungu kwanza
Hauwezi kwenda kulipa Bill bila uhai kwanza

TAFAKARI
Mungu hayupo hizo ni hadithi tu kwanza katika Mungu 3000 waliopo unamzungumzia yup?
 
Back
Top Bottom