Pesa Sio kila Kitu unajidanganya

Pesa Sio kila Kitu unajidanganya

Pesa sio kila kitu sawa ila PESA NYINGI NDIO KILA KITUU.

Acha kujifariji hapo na umasikini wako amka kazisake sana hizo pesa.
Narudia tena PESA NYINGI NDIO KILA KITUUU
 
Ukiwa na pesa ndio unaweza kusema pesa si kila kitu na usipokuwa na pesa ndio utagundua kuwa pesa ndio kila kitu
 
pesa hainunui furaha, ufukara unanunua nini?
😂🤣🤓
Pesa hainunui furaha ila inasababisha furaha ionekane.

Ufukara unasababisha huzuni zionekane au furaha isionekane. Wivu na mambo kama hayo.
 
Umerudi kunijibu tena "Mungu" ndiyo hiyo hiyo nguvu ambayo yeye ndiye kaiumba "So confusing" ,,,,,,,,,!😇😇
Unajikonfyuzi mwenyewe bila kukonfyuziwa😅😅😅😀😄😮. Unachunguza kitu ambacho wewe ni drop yake kweli lazima ukonfyuzi.
Ngoja nikulize swali kwa uzuri sasa : Huyo "Mungu" pamoja na hizo "Nguvu", vyote kwa pamoja chanzo chake ni nini?
Sasa Mungu si ni jina kama wewe ulivyo Ibn Unuq lakini ni binadamu.

Mungu ndiyo hiyo nguvu. Hiyo nguvu ndiyo hiyo Alfa na Omega haina mwanzo wala mwisho. Neither created nor destroyed. Sasa kitu kisichokuwa na mwanzo kinachunguzwa kwa kutumia maarifa yenye mwanzo na mwisho. Halafu maarifa yenyewe kuchunguza kakupa unaemchunguza🤣

BTW

Wewe ni nani kati ya mwili, nafsi (akili) na roho?
 
Back
Top Bottom