Huna pesa ujue una balaa tu hakuna amani, hiyo hiyo familia yako itahakikisha huna amani. Umewakusanya hapo ili uwashindishe njaa? Pona yako labda wakukimbie.Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..
Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.
Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Utatibiwa na nani bure? Hata waganga wa jadi wanataka kuku mweusi au mweupe na wanapatikana sokoni ukiwa na pesa.Afya bora
Utalima jembe utoe wapi na yanauzwa? Au utatumia mawe?Kilimo
Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes
Kwani wee umeambiwa watu wanasaka lesa ili wale? Watu wanasaka pesa ili wageggede wanawake wazuri broo!Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..
Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.
Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Afya bora
Kilimo
Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes
Unaenda kazini ili upate kula..
Linda Sana Amani na afya alafu kuwa na uhakika wa chakula mengine baaade
This is not poor mind
Poor mind as the result of poor peopleKwani wee umeambiwa watu wanasaka lesa ili wale? Watu wanasaka pesa ili wageggede wanawake wazuri broo!
Lazima wavivu watapinga ukweli huu 🐒Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..
Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.
Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Afya bora, Kilimo
Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes
Unaenda kazini ili upate kula..
Linda Sana Amani na afya alafu kuwa na uhakika wa chakula mengine baaade
This is not poor mind
una hoja usikilizweKabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..
Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.
Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Afya bora, Kilimo
Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes
Unaenda kazini ili upate kula..
Linda Sana Amani na afya alafu kuwa na uhakika wa chakula mengine baaade
This is not poor mind
Maisha ni zaidi ya hili..Kwani wee umeambiwa watu wanasaka lesa ili wale? Watu wanasaka pesa ili wageggede wanawake wazuri broo!
Jidanganye, utakuja kuujua ukweli umechelewa.Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..
Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.
Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Afya bora, Kilimo
Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes
Unaenda kazini ili upate kula..
Linda Sana Amani na afya alafu kuwa na uhakika wa chakula mengine baaade
This is not poor mind
Hiyo mungu kwanza ni mdomoni tu hauwezi kulipa Bill na mungu kwanza kamwe.Jidanganye, utakuja kuujua ukweli umechelewa.
Kila jambo na wakati wake.
Tambua pesa ni stoo ya kila kitu. Hata mke wa bandia (mchepuko, one night short) ni pesa. Kwahiyo Money is a store of value and unit of account.
Sasa wewe jidanganye utawaona wenzio wanakula maisha.
Ukisema pesa sio kila kitu labda unapokuja upande wa Mungu, pale unaifanya pesa ya kwanza kisha Mungu wa pili. Mfano kuna mgonjwa, badala ya kumtanguliza Mungu akupatie uponyaji wewe unaingia tu kumpeleka hospitali nzuri yenye gharama kubwa na madaktari bingwa ukiamini utawalipa na watamtibu apone, au utampeleka India. Madaktari wa India wakishindwa ndio utasikia sasa tunamwachia Mungu. Hapo ndio ujue pesa sio kila kitu.
BTW Mungu kwanza halafu wewe kisha pesa. Pesa inakutumikia wewe kwa kubeba kila kitu.
Mkuu hayo mashamba kwanza unayatoa wapi bila pesa?Kabla ya kuja Kwa monetary system African people walikuwa wanaishi kupitia burter trade..
Msingi ukiwa ni kilimo uvuvi na ufugaji.
Dunia ya Sasa Hela Sio kila Kitu kama utakuwa una moja Kati ya
Amani katika familia
Afya bora, Kilimo
Ukiwa mkulima Kwa namna yoyote either directly or indirectly utakuwa na uhakika wa chakula yes
Unaenda kazini ili upate kula..
Linda Sana Amani na afya alafu kuwa na uhakika wa chakula mengine baaade
This is not poor mind
Hiyo mungu kwanza ni mdomoni tu hauwezi kulipa Bill na mungu kwanza kamwe.
Mungu hayupo hizo ni hadithi tu kwanza katika Mungu 3000 waliopo unamzungumzia yup?Physically HAUWEZI, Spiritually UNAWEZA.
Ukiamka umekata kamba hata hayo matrilioni hauwezi kuyalipa, uhai wako ni nini?
Hauwezi kupata pesa ya kulipa Bill bila Mungu kwanza
Hauwezi kwenda kulipa Bill bila uhai kwanza
TAFAKARI
Mungu ni mmoja tu ndiye ninaemzungumzia. Muumba wa mbingu na nchi pamoja na mimi na kila kitu.Mungu hayupo hizo ni hadithi tu kwanza katika Mungu 3000 waliopo unamzungumzia yup?