Sasa Mungu si ni jina kama wewe ulivyo Ibn Unuq lakini ni binadamu.
Mungu ndiyo hiyo nguvu. Hiyo nguvu ndiyo hiyo Alfa na Omega haina mwanzo wala mwisho. Neither created nor destroyed. Sasa kitu kisichokuwa na mwanzo kinachunguzwa kwa kutumia maarifa yenye mwanzo na mwisho. Halafu maarifa yenyewe kuchunguza kakupa unaemchunguza🤣
BTW
Wewe ni nani kati ya mwili, nafsi (akili) na roho?