mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 220
inawezekana ikawaa niujinga lakin umeelewa nilimaanishaInabidi uwe nazo za kutosha kwanza kabla ya kuandika huu ujinga.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Huyu si ni mpumbavu aka ngumbaruBut why hii thread umeiweka kama "tetesi"?
Mwenye pesa huwa ana madaktari ndani mwake, kitendo Cha kunyanyuka kwenda hospital inathibitisha Kuwa bado huna pesa.Amin kuwa pesa haiwez nunua kila kitu au kufanya kila kitu vuta picha siku upo home umelala bank una kama m 10 [emoji383]hivi ila [emoji336]imezima afu umezidiwaaa unaumwa atari ata kunyanyua mguu unashiwa ndan una kama jiwe 2 [emoji275] ndo unachomoka ikiwa pesa unazo mtu wangu
Nimeshangaa thread IPO kwenye jukwaa la kihistoria 🤣But why hii thread umeiweka kama "tetesi"?