Pesa sio kila kitu

Pesa sio kila kitu

mr_stev001

Senior Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
159
Reaction score
220
Amin kuwa pesa haiwez nunua kila kitu au kufanya kila kitu vuta picha siku upo home umelala bank una kama m 10 💰hivi ila 📱imezima afu umezidiwaaa unaumwa atari ata kunyanyua mguu unashiwa ndan una kama jiwe 2 🌝 ndo unachomoka ikiwa pesa unazo mtu wangu
 
Wewe kariri "pesa ni Mungu hapa duniani" tafakari kwa makini ili ugundue "pesa ni kila kitu" . Kifo ni tukio la kawaida la asili, ukiwa nazo pesa, furahiya vya kutosha ukijuwa maisha ni mafupi. Angalia hata sehemu unayotumia kuabudu, mwenye pesa anatukuzwa.
 
kama uzi huu hautambui umuhimu wa pesa basi mimi niseme tu KUMUUA mtu SIO sawa na mwenda PiC NIKi

cuba
 
Nikiwaza jinsi simu yangu iliharibika mpaka nikaahindwa ingia Jf week yote hata chakuniliwaza Sina hadi baby kumuona kwa bahati mbaya leo nilivyobahatisha kwa 60 alfu nikakimbia kwa fundi then Booom niko JF nimetoka kuwasiliana na baby tumepanga ratiba ya breakfast kesho nk then kunamtu Anaandika huu ujinga
 
Amin kuwa pesa haiwez nunua kila kitu au kufanya kila kitu vuta picha siku upo home umelala bank una kama m 10 [emoji383]hivi ila [emoji336]imezima afu umezidiwaaa unaumwa atari ata kunyanyua mguu unashiwa ndan una kama jiwe 2 [emoji275] ndo unachomoka ikiwa pesa unazo mtu wangu
Mwenye pesa huwa ana madaktari ndani mwake, kitendo Cha kunyanyuka kwenda hospital inathibitisha Kuwa bado huna pesa.


Ukiwa na pesa utakufa kwa mipango ya MUNGU
Ukiwa na pesa .............
 
Mimi nafikiri pesa ni muhimu, shida ni UPENDO uliokithiri kuelekea pesa, ambao utamfanya mtu awaumize wengine ili kuzipata..
HATA BIBLIA INAKIRI WAZIWAZI KUWA PESA NI ULINZI (MUHUBIRI 7:12)
 
Ukiwa na hela huwezi kuwa pekeyako
 
Haya ndio madhara ya punyeto nawaambia mjiunge na no fap hamtaki. Think big
 
Back
Top Bottom