Pesa X: Kampuni ya ukopeshaji mitandaoni inayolimbikizia watu madeni ya kubumba

Pesa X: Kampuni ya ukopeshaji mitandaoni inayolimbikizia watu madeni ya kubumba

Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
Matapelihaww ukiwakopaaaa pitaaaanaoo msilipee wana kampuni kama 8 ..miliki mmoja wanajifanya kampuni tofauti...wapuuzi wanazalilisha hasaa madada
 
Usiwalipe hawatakufanya chochote ila uwe mvumilivu kwa zile siku za mwanzo simu zinapigwa mpaka saa nane usiku!
Naa ma msg yaooo mwanzon unachuna vizuri na maumivu unaenda sailing line nyingine wapeeeee kunamdada alitaka kuwakimbia na lak 5 nkamwambiaa unakosea omba utachelewa kulipa wakamkubalia tukamsaidia akalipa wakampeleka laki9 na ile line sijù kama wanaikumbuka walipiga simu wakachoka wakaacha
 
Mkopo fasta pia ni watu hatari
N mmiliki.mmoja. mkuu wa mkopofasta xpesa cashloaaaan m Loan zikokama 8 mkenyaaaa

Waliwapigaaa xpesa wakavuta na mloan na cashloaaaan same day wakashindwa kulipa ontym sio kaa msg zile mpaka wakatengeneza grp la wahtsup nkashauri wakope kwingine walipee kasheshe akaulizwa ushawahilopa hii mioopo mtandaon hapana kweli

Huna deni xpesaaa...na mloan akajibu ntawalipa wakasema lipa kwanza uje uombe huku wakaachana nao hatakulipa awakulipa tena
 
Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
Kuna mtu alikopa kwenye Kampuni inaitwa MKOPO WAKO alipochelewa kulipa waliwatumia meseji watu zaidi ya 20 walioko kwenye laini yake. Waliponipigia mm mmoja wa watu waliotumiwa ujumbe, niliwauliza maswali. 1. Nani kawapa majina ambayo hajayajaza kwenye fomu yenu?, 2. Kwanini mnamkopesha mtu bila kumuuliza mdhamini aliyejazwa kwenye fomu, 3.Mnapowataja watu ambao wengine kwa maadili yao ya kazi hawaruhusiwi kumdhamini mtu kwenye mkopo, wakipata shida kwenye ajira zao mtawalipa fidia? Maana nadhani kuna mtu TCRA anayewasaidia kudukua majina au kwenye makampuni ya simu. Kwa kifupi siyo wastaarabu. Hata kama kuna tatizo basi wawapigie wale ambao umewajaza kwenye fomu yao
 
Dawa ya deni ni kulipa! Kila siku mnaambiwa muwe mnasoma masharti na vigezo ya hayo makampuni….! Hao wamesajiliwa ! Kwa hiyo kama unaona wanakunyonya usikope wewe kopa bank
Sawa ila jibu swali sasa, wakati wa kukopa hua mnakuwa mmekatwa kichwa?
Wakati mnakopa mbona ham kulipia ofisi zao zilipo

Ova
Dawa ya deni ni kulipa mkuu
Hawa wanakosha 10,000 wanakudai 20,000 ndani ya siku 6 , mi nashangaa BOT wako wapi ??
Kuna rafiki angu alinambia atakopa kwa wote apate mtaji halafu asilipe
nhahahah,awafanyie ukenge
jaman dawa ya deni kulipa ukopeshwe tena
A: Ni kweli mikopo halali na inayozingatia sheria na utu ni mzuri tu na inawatoa watu. Mikopo hii ni kama huu, kwamba, Mimi The Palm Beach namkopesha ndugu Muhsin Snr TSh. 100 imtatulie shida au afanye mtaji wa biashara.

Kwa kuwa anakaa nayo kwa mwezi mzima (kwa mfano), basi nitkubaliana naye kuwa ukifika wakati wa kurejesha, anirudishie na faida ndogo (let say ya TSh. 20) kwa hiyo badala ya 100 basi alete 120.

Kwa scenario hiyo👆👆mkopo wa namna hiyo hauna ubaya wowote na kwa mkopo wa aina hii, basi kanuni ya "dawa ya deni kulipa" ina apply.

B: Lakini kuibia watu kwa jina la "mikopo" na kwa kuwa watu hawa wana shida au matatizo ukijua hawana cha kufanya hata wakiweka masharti na riba mbaya na kubwa namna gani, basi hiyo inakuwa SI HALALI NA HAIKUBALIKI.!!

Just think, hivi inawezekana vipi (kwa mfano) umpe mtu pesa TSh. 10,000 halafu ndani ya wiki moja akurudishie 20,000 kwa interest ya 100% na akishindwa kurejesha kwa wakati unaanza kumdhalilisha kwa kila namna ya madhalilisho? Ni haki kweli hata kama "dawa ya deni ni kulipa?". Hii kwa mtazamo wowote ule, sio haki na mtazungushana sana na pengine kuumizana na mwisho pesa ipotee!!

Na mnaodai kuwa "dawa ya deni ni kulipa" lakini mkumbuke kuwa deni la namna hii siyo deni tu bali ni "mkopo - deni"

Kwa hiyo hawa watu wawili wakishitakiana, mahakamani, kitachoangaliwa sio tu "dawa ya deni ni kulipa" bali cha kwanza ni terms & conditions za deni hilo.

Mlipeana mkopo wa kindugu/kirafiki? Mlikopeshana kibiashara? Kama ni mkopo biashara, masharti yake yana - comply na masharti au kanuni za mikopo kwa mujibu wa sheria kama zilivyowekwa na mamlaka zenye jukumu la kusimamia sekta ya fedha nchini?

C: Ndugu Mbaga Jr yeye kawa harsh kidogo bila kufikiri kwa hekima na busara kabla ya kuandika. Anauliza, "wakati mtu anakopa anakuwa amekatwa kichwa?".

Hopefully, jibu lake ni NDIYO kwa sababu watu wanaoiendea mikopo hii for sure kabisa wengi huwa wanakuwa wamekatwa vichwa/shingo zao na shida za dunia hii!!.

Ndio maana watu wakiwa ktk uhitaji au shida fulani, hujiingiza kwenye mambo haramu au njia zisizo salama kwao ili wapate fedha na kutatua changamoto zinazowakabili kwa wakati huo bila kujua kuwa wanapotumia njia hizo kutatua shida ya wakati huo, wanakuwa wanatengeneza shida nyingine kubwa zaidi tena!

Kama wewe ndugu Mbaga Jr na wenzio mliong'ang'ana na kauli tu ya "dawa ya deni ni kulipa" hamjawahi kujikuta mko kwenye engo mbaya na hatari ya uhitaji wa fedha na kuwa tayari kupewa pesa kwa sharti lolote na yeyote ili tu utoke kwenye shida hiyo kwa wakati huo, basi mshukuruni Mungu wenu sana kwa kuwa amewapa neema hiyo!

In case hamjui, muulizeni Rais Samia Suluhu Hassan na Ng'wigulu Nchemba (waziri wa fedha wa sasa) wawaambie imekuaje wamejiingiza nchi kwenye mikopo ya ajabu kiasi cha kuiuza nchi kabisa.

Si wameuza bandari zetu za Tanganyika kwa ahadi (mikopo)?, mapori zaidi hekta milioni 9.9 za hifadhi ya misitu yetu?, madini, gesi, uwanja wa KIA nk?

ANYWAY. WALIOKOPA NA KUJIKUTA WAMEINGIA KWENYE SHIDA HII HATA KUTUKANWA NA KUDHALILISHWA NA WAKOPESHAJI HAWA WAFANYEJE?

Definitely, hawa walichukua pesa ya watu. Kukaa na kitu au fedha ya mtu mwingine bila ridhaa yake, sio sawa, sio haki.

Na ili kuyamaliza wanapaswa kuwarudishia wenyewe kwa kufuata utaratibu na ushauri ufuayayo;

1. Wakae chini (mkopaji na mkopeshaji) wazungumze. Wewe uliyekopa mwambie aliyekukopesha kuwa, nilikuwa na shida. "Kichwa changu kilikuwa kimekatwa na shida/changamoto yangu na sikuwa namna". Kwa kuwa nilikuwa so desperate na kiasi cha kutoona na kujali masharti yenu magumu na ya hovyo yanayovunja sheria za mikopo ya fedha, basi Mimi nakurudishia pesa yako halisi (principal amount) uliyonipa na kiasi hiki (unachomudu, kwa utaratibu na muda mtakaokukubaliana) kama faida yako.

Kama mkopeshaji huyo akikataa kupokea pesa yake, mwambie, basi huna la kufanya zaidi. Akitaka, atafute mtu wa tatu (hasa mahakama) awasikilize na kuwaamua!!

2. Kuna watu wanashauri kuwa WALIOKOPA pesa hizi na sasa wamebananishwa kuzilipa hivyo hivyo kwa riba zilizokwisha jilimbikiza, eti wakatae tu kulipa.

Kuna mwingine anasema na kushauri kuwa, watu wakope makampuni mengi au yote Ili watumie fedha hizo waanzishe biashara na kisha kwa sababu ya masharti yao mabaya hawa WAKOPESHAJI, wagome kuwalipa kwa sababu watakuwa hawana la kuwafanya.

Huo👆👆👆 ni ushauri mbaya, hatari na mtu akiufuata, tendo hilo litamvuruga na kumuumiza maisha yake yote.

Mungu hakubaliani na hili hata kidogo. Hata hiyo biashara atakayoianzisha mtu wa namna hii haitafika popote maana ameianzisha kwa hila na kwa pesa za dhuluma.

Huwezi kufanya dhuluma kwa sababu wewe umedhulumiwa. Tunaambiwa tuushinde ubaya kwa wema. Mtu hawezi kushinda ubaya kwa ubaya!

Kwa hiyo, ushauri wangu kwa hili, kila mtu anapokuwa kwenye changamoto au shida ya uhitaji wa fedha, basi hatua ya kwanza ni kujaribu kuwa mtulivu na mvumilivu ili kuiruhusu akili kuja na suluhu isiyozalisha shida nyingine.

Biblia mahali fulani inasema, "kila jaribu (changamoto/shida inapomjia mtu, basi Mungu huandaa na mlango (njia sahihi na isiyo na maumivu) ya kutokea au kutatulia shida hiyo".

Ukihamaki ukiwa so desperate pamoja na woga na hofu iliyoletwa na shida hiyo kiasi cha kukosa utulivu wa akili, basi tambua kabisa kuwa hutaweza kuuona mlango huo wa kukuokoa na shida yako ambao Mungu anakuwa alishakuandalia kitambo!

Na badala yake you will easily fall into devil's trap kwa kuuona mlango wa mauti wa shetani ambao naye huwa ameutegesha kwa ajili yako.

Upi? Ndio hii mikopo ya kausha damu.

Na watu wasidanganyike hata kidogo, mikopo hiyo ni mpango mzima wa Ibilisi ili kuwaumiza na kuwaua watu.

Na wengi wamedhalilika na wengine kufa kwa presha za usumbufu na kudhalilishwa. Mungu Yehova hawezi kukausha damu watu wake. Mungu yeye anaponya na kuokoa!

3. MWISHO: Kwa utafiti tuliofanya.

Mosi ni kweli kabisa mikopo hii "kausha damu" ipo na inakiuka masharti na kanuni za ukopeshaji fedha.

Pili, watu wana shida kwelikweli na wakimpata mtu wa kutoa fedha za namna hii, huchukua bila kujali athari zake.

Lakini ni kweli pia kuwa wengi huchukua pesa hizi si kwa sababu wana shida maalumu sana inayohitaji kutatuliwa haraka. Bali wengi huchukua kwa ajili ya matumizi ya kawaida sana ikiwemo kumywea pombe, vocha za Simu nk.

Ushauri kwenye hilo👆👆:
Fikiria mara mbili kabla ya kuchukua fedha hizi. Tujifunze kuweka akiba kwa kidogo tunachopata katika shughuli zetu za kutuingizia kipato ili kitufae wakati wa shida.

Asanteni
 
A: Ni kweli mikopo halali na inayozingatia sheria na utu ni mzuri tu na inawatoa watu. Mikopo hii ni kama huu, kwamba, Mimi The Palm Beach namkopesha ndugu Muhsin Snr TSh. 100 imtatulie shida au afanye mtaji wa biashara.

Kwa kuwa anakaa nayo kwa mwezi mzima (kwa mfano), basi nitkubaliana naye kuwa ukifika wakati wa kurejesha, anirudishie na faida ndogo (let say ya TSh. 20) kwa hiyo badala ya 100 basi alete 120.

Kwa scenario hiyo👆👆mkopo wa namna hiyo hauna ubaya wowote na kwa mkopo wa aina hii, basi kanuni ya "dawa ya deni kulipa" ina apply.

B: Lakini kuibia watu kwa jina la "mikopo" na kwa kuwa watu hawa wana shida au matatizo ukijua hawana cha kufanya hata wakiweka masharti na riba mbaya na kubwa namna gani, basi hiyo inakuwa SI HALALI NA HAIKUBALIKI.!!

Just think, hivi inawezekana vipi (kwa mfano) umpe mtu pesa TSh. 10,000 halafu ndani ya wiki moja akurudishie 20,000 kwa interest ya 100% na akishindwa kurejesha kwa wakati unaanza kumdhalilisha kwa kila namna ya madhalilisho? Ni haki kweli hata kama "dawa ya deni ni kulipa?". Hii kwa mtazamo wowote ule, sio haki na mtazungushana sana na pengine kuumizana na mwisho pesa ipotee!!

Na mnaodai kuwa "dawa ya deni ni kulipa" lakini mkumbuke kuwa deni la namna hii siyo deni tu bali ni "mkopo - deni"

Kwa hiyo hawa watu wawili wakishitakiana, mahakamani, kitachoangaliwa sio tu "dawa ya deni ni kulipa" bali cha kwanza ni terms & conditions za deni hilo.

Mlipeana mkopo wa kindugu/kirafiki? Mlikopeshana kibiashara? Kama ni mkopo biashara, masharti yake yana - comply na masharti au kanuni za mikopo kwa mujibu wa sheria kama zilivyowekwa na mamlaka zenye jukumu la kusimamia sekta ya fedha nchini?

C: Ndugu Mbaga Jr yeye kawa harsh kidogo bila kufikiri kwa hekima na busara kabla ya kuandika. Anauliza, "wakati mtu anakopa anakuwa amekatwa kichwa?".

Hopefully, jibu lake ni NDIYO watu wanaoiendea mikopo hii for sure kabisa wengine huwa wanakuwa wamekatwa vichwa/shingo zao na shida za dunia hii. Ndio maana watu hujiingiza kwenye mambo haramu au njia zisizo salama kwao ili wapate fedha na kutatua changamoto zinazowakabili kwa wakati huo bila kujua kuwa wanatatua shida hiyo na kutengeneza nyingine tena!

Kama wewe ndugu Mbaga Jr na wenzio mliong'ang'ana na kauli tu ya "dawa ya deni ni kulipa" hamjawahi kujikuta mko kwenye engo mbaya na hatari ya uhitaji wa fedha na kuwa tayari kupewa pesa kwa sharti lolote na yeyote ili mradi tu utoke kwenye shida hiyo kwa wakati huo, basi mshukuru Mungu sana kwa sababu amekupa neema hiyo!

In case hamjui, muulizeni Rais Samia Suluhu Hassan na Ng'wigulu Nchemba (waziri wa fedha wa sasa) wawaambie imekuaje wamejiingiza kwenye mikopo ya ajabu ya kuiuza nchi kabisa. Wauza bandari zetu, mapori zaidi hekta milioni 9.9 za hifadhi ya misitu yetu, madini, gesi, uwanja wa KIA nk

ANYWAY. WALIOKOPA NA KUJIKUTA WAMEINGIA KWENYE SHIDA HII HATA KUTUKANWA NA KUDHALILISHWA NA WAKOPESHAJI HAWA WAFANYEJE?

Definitely, walichukua pesa ya watu. Kukaa na kitu au fedha ya mtu mengine bila ridhaa yake kuwa ameachia, sio sawa.

Na ili kuyamaliza wanapaswa kuwarudishia wenyewe kwa kufuata utaratibu na ushauri ufuayayo;

1. Wakae chini (mkopaji na mkopeshaji) wazungumze. Wewe uliyekopa mwambie aliyekukopesha kuwa, nilikuwa na shida. "Kichwa changu kilikuwa kimekatwa na shida/changamoto yangu na sikuwa namna". Kwa kuwa nilikuwa so desperate na kiasi cha kutoona na kujali masharti yenu magumu na ya hovyo kiasi kwamba yanavunja sheria za mikopo ya fedha. Nakurudishia pesa yako halisi (principal amount) uliyonipa na kiasi hiki (unachomudu, kwa utaratibu na muda mtakaokukubaliana).

Kama mkopeshaji huyo akikataa kupokea pesa yake, mwambie, basi huna la kufanya zaidi. Akitaka, atafute mtu wa tatu (hasa mahakama) awasikilize na kuwaamua!!

2. Kuna watu wanashauri kuwa WALIOKOPA pesa hizi na sasa wamebananishwa kulipa hivyo hivyo kwa riba zilizokwisha jilimbikiza, eti wakatae tu kulipa. Kuna mwingine anasema na kushauri kuwa, watu wakope makampuni mengi au yote Ili watumie fedha hizo waanzishe biashara na kisha kwa sababu ya masharti yao mabaya hawa WAKOPESHAJI, wagome kuwalipa kwa sababu watakuwa hawana la kuwafanya.

Huu ni ushauri mbaya, hatari na mtu akiufuata, tendo hilo litamvuruga na kumuumiza maisha yake yote.

Mungu hakubaliani na hili hata kidogo. Hata hiyo biashara atakayoianzisha mtu wa namna hii haitafika popote maana ameianzisha kwa hila na kwa pesa za dhuluma.

Huwezi kufanya dhuluma kwa sababu wewe umedhulumiwa. Tunaambiwa tuushinde ubaya kwa wema. Mtu hawezi kushinda ubaya kwa ubaya!

Kwa hiyo, ushauri wangu kwa hili, kila mtu anapokuwa kwenye changamoto au shida ya uhitaji wa fedha, basi hatua ya kwanza ni kujaribu kuwa mtulivu na mvumilivu ili kuiruhusu akili kuja na suluhu isiyozalisha shida nyingine.

Biblia mahali fulani inasema, "kila jaribu (changamoto/shida inapomjia mtu, basi Mungu huandaa na mlango (njia sahihi na isiyo na maumivu) ya kutokea au kutatulia shida hiyo".

Ukihamaki ukiwa so desperate pamoja na woga na hofu iliyoletwa na shida hiyo kiasi cha kukosa utulivu wa akili, basi tambua kabisa kuwa hutaweza kuuona mlango huo wa kukuokoa na shida yako ambao Mungu anakuwa alishakuandalia kitambo!

Na badala yake you will easily fall into devil's trap kwa kuuona mlango wa mauti wa shetani ambao naye huwa ameutegesha kwa ajili yako.

Upi? Ndio hii mikopo ya kausha damu.

Na watu wasidanganyike hata kidogo, mikopo hiyo ni mpango mzima wa Ibilisi ili kuwaumiza na kuwaua watu.

Na wengi wamedhalilika na wengine kufa kwa presha za usumbufu na kudhalilishwa. Mungu Yehova hawezi kukausha damu watu wake. Mungu yeye anaponya na kuokoa!

3. MWISHO: Kwa utafiti tuliofanya.

Mosi ni kweli kabisa mikopo hii "kausha damu" ipo na inakiuka masharti na kanuni za ukopeshaji fedha.

Pili, watu wana shida kwelikweli na wakimpata mtu wa kutoa fedha za namna hii, huchukua bila kujali athari zake.

Lakini ni kweli pia kuwa wengi huchukua pesa hizi si kwa sababu wana shida maalumu sana inayohitaji kutatuliwa haraka. Bali wengi huchukua kwa ajili ya matumizi ya kawaida sana ikiwemo kumywea pombe, vocha za Simu nk.

Ushauri kwenye hilo👆👆:
Fikiria mara mbili kabla ya kuchukua fedha hizi. Tujifunze kuweka akiba kwa kidogo tunachopata katika shughuli zetu za kutuingizia kipato ili kitufae wakati wa shida.

Asanteni
Bro mm pia nna maisha ya kukopa kama wengine ila kuna mambo n ya kufikiria kwanza
 
Bro mm pia nna maisha ya kukopa kama wengine ila kuna mambo n ya kufikiria kwanza
Ndiyo, nakubaliana nawe.

Hata mimi nina mikopo ndugu yangu. Lakini sio hii insyojulikana kama "kausha damu"

Nimesema hivi, kukopa sio vibaya. Mikopo imewatoa watu na kuwasaidia kukuza biashara.

Kikubwa ni mtu kuwa mtulivu wa akili kabla ya kuamua akope wapi. Pupa ya kutaka pesa tu, inaweza kumwingiza mtu matatani..

Aidha wengi (sio wote) wa wakopeshaji hawa, wamekaa katika namna ya kukomesha wenye shida na si kuwasaidia. Hili ni lazima tukubaliane..

Tusaidiane kama binadamu. Tusikomoane kwa tamaa tu ya kujipatia fedha na utajiri wa haraka haraka kwa gharama ya shida na matatizo ya watu!!
 
Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
Huwajui Ustawi Loan wewe, anyaways Lipa deni la watu.
 
Hawa wanakosha 10,000 wanakudai 20,000 ndani ya siku 6 , mi nashangaa BOT wako wapi ??
aisee bora mimi nina riba ndogo sana😅
Screenshot_20240609-093451.jpg
 
Back
Top Bottom