ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Rais wetu amekuwa akimwaga mapesa kwenye mipira, ati anaweka hamasa.
Lakini kimsingi hakuna hamasa yoyote anayoweka zaidi ya hizo timu kufanya siasa na unafiki
Yaani Aziz ki anavuta million 40+ Kwa mwezi, Ateba anavuta million 30+, waanze kugombania million 10 ambayo itagawanywa Kwa wachezaji zaidi ya 40 kutia ndani bench la ufundi
Hao wachezaji wana mishahara minono wala hawahitaji hizo fedha
Ingekuwa busara zaidi Rais wetu akawapa hizo pesa Watanganyika wenye uhitaji hata na million 2 tu.
Kuna shule hazina madawati, hospitali hazina madawa, barabara hamna, hospital watu wanakufa Kwa huduma duni za afya.
Kariakoo watu wamekufa wanajiona Kwa kukosa vifaa vya uokoaji
Watanganyika hawapati Milo mitatu
Hivi hizo million 700 angegawa Kwa makundi ya vijana wakajiajiri kwenye kilimo kipindi hili cha masika ingemlipa zaidi
Rais usiweke tena hayo mamilion kwenye mipira