Tusubilie wataalamu kutoka Kenya waje watusaidie...Hata mimi nimeshituka sana...Kwani macho yangu ni mabovu siku hizi. Hiyo coin ya 1000 wametengeneza usiku au?
Tusubilie wataalamu kutoka Kenya waje watusaidie...Hata mimi nimeshituka sana...
My friend don't be that disparate, every tweet umekutana nayo usiwe unaleta huku, zingine zinashow your level of reasoning is very very low.Tusubilie wataalamu kutoka Kenya waje watusaidie...Hata mimi nimeshituka sana...
kondoo mtu weweTusubilie wataalamu kutoka Kenya waje watusaidie...Hata mimi nimeshituka sana...
Tusubilie wataalamu kutoka Kenya waje watusaidie...Hata mimi nimeshituka sana...
Kumbe umekurupuka! Ndiyo maana nilikuwa najiuliza wajinga wa hivi niliwaona wapi? Kumbe humu JF.
Hakuna sarafu ya 1000 Kenya wewe Digidigi.
Kweli nyinyi ni wadanganyika😂😂Mbona nimegugo hamna kitu hiyo
Povu😂😂😂My friend don't be that disparate, every tweet umekutana nayo usiwe unaleta huku, zingine zinashow your level of reasoning is very very low.
Povu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe umekurupuka! Ndiyo maana nilikuwa najiuliza wajinga wa hivi niliwaona wapi? Kumbe humu JF.
Hakuna sarafu ya 1000 Kenya wewe Digidigi.
Hiyo sarafu Ipo, Ila haitumiki madukani. Ilitolewa mwaka wa 1991 Kusherehekea mwaka wa 1988 ndiposa waona "Silver Jubilee". Ilitolewa hata kabla ya Noti ya 1,000 kutokea. Ili upate sarafu hii, utalipia dollar $355 kule ebay
View attachment 965874
Unaona twitter leo inavyokufanya...bwahahahaaaaKenya imefika hatua yakutengeneza coins za 1000/= Hii inamaana 1000/= imekuwa kwenye mzunguko sana kiasi kwamba ikiwa kwenye note hii pesa ina chakaa haraka sana..Hii ni sawa na shillingi 500 iliyokuwa introduced Tanzania kutokana na hiyo pesa kuwa kwenye mzunguko sana na kupelekea hiyo pesa kuchakaa. Hiyo inamanisha value ya pesa imepungua....Tujadili kisomi zaidi....Kama hii hoja ninzito kwako kaa pembeni.....Povu punguza....View attachment 964867
Hapana imepigwa photo copy tuuKwani macho yangu ni mabovu siku hizi. Hiyo coin ya 1000 wametengeneza usiku au?
Asante mkuu kwahiyo ni special coin siyo?
Sawa ningeshangaa kuwa kuna coin ya 1000 inayotumika kwenye mzunguko wa kifedha.Yeah. Ni commemorative (a special vile ulivyoitaja) wa mwaka wa 1991. Ni sawa na sarafu ya shilingi arobaini iliyotolewa mwaka wa 2003. Hata hivyo, sarafu ya shilingi 40 hutumika madukani.