Kenya imefika hatua yakutengeneza coins za 1000/= Hii inamaana 1000/= imekuwa kwenye mzunguko sana kiasi kwamba ikiwa kwenye note hii pesa ina chakaa haraka sana..Hii ni sawa na shillingi 500 iliyokuwa introduced Tanzania kutokana na hiyo pesa kuwa kwenye mzunguko sana na kupelekea hiyo pesa kuchakaa. Hiyo inamanisha value ya pesa imepungua....Tujadili kisomi zaidi....Kama hii hoja ninzito kwako kaa pembeni.....Povu punguza....