Pesa ya Kenya inashuka thamani (value) kwa kasi..

Pesa ya Kenya inashuka thamani (value) kwa kasi..

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kenya imefika hatua yakutengeneza coins za 1000/= Hii inamaana 1000/= imekuwa kwenye mzunguko sana kiasi kwamba ikiwa kwenye note hii pesa ina chakaa haraka sana..Hii ni sawa na shillingi 500 iliyokuwa introduced Tanzania kutokana na hiyo pesa kuwa kwenye mzunguko sana na kupelekea hiyo pesa kuchakaa. Hiyo inamanisha value ya pesa imepungua....Tujadili kisomi zaidi....Kama hii hoja ninzito kwako kaa pembeni.....Povu punguza....
IMG_20181211_210549.jpg
 
Kwani macho yangu ni mabovu siku hizi. Hiyo coin ya 1000 wametengeneza usiku au?
 
Kumbe umekurupuka! Ndiyo maana nilikuwa najiuliza wajinga wa hivi niliwaona wapi? Kumbe humu JF.

Hakuna sarafu ya 1000 Kenya wewe Digidigi.
Tusubilie wataalamu kutoka Kenya waje watusaidie...Hata mimi nimeshituka sana...
 
The silver jubilee coins are always there but they are non circulatory and minted for commemorations.
 
Kumbe umekurupuka! Ndiyo maana nilikuwa najiuliza wajinga wa hivi niliwaona wapi? Kumbe humu JF.

Hakuna sarafu ya 1000 Kenya wewe Digidigi.

Hiyo sarafu Ipo, Ila haitumiki madukani. Ilitolewa mwaka wa 1991 Kusherehekea mwaka wa 1988 ndiposa waona "Silver Jubilee". Ilitolewa hata kabla ya Noti ya 1,000 kutokea. Ili upate sarafu hii, utalipia dollar $355 kule ebay
Coin.png
 
Kenya imefika hatua yakutengeneza coins za 1000/= Hii inamaana 1000/= imekuwa kwenye mzunguko sana kiasi kwamba ikiwa kwenye note hii pesa ina chakaa haraka sana..Hii ni sawa na shillingi 500 iliyokuwa introduced Tanzania kutokana na hiyo pesa kuwa kwenye mzunguko sana na kupelekea hiyo pesa kuchakaa. Hiyo inamanisha value ya pesa imepungua....Tujadili kisomi zaidi....Kama hii hoja ninzito kwako kaa pembeni.....Povu punguza....View attachment 964867
Unaona twitter leo inavyokufanya...bwahahahaaaa
 
Asante mkuu kwahiyo ni special coin siyo?

Yeah. Ni commemorative (a special vile ulivyoitaja) wa mwaka wa 1991. Ni sawa na sarafu ya shilingi arobaini iliyotolewa mwaka wa 2003. Hata hivyo, sarafu ya shilingi 40 hutumika madukani.

Pia Kuna Sarafu ya shilingi 500 amabyo haitumiki madukani Sarafu hii ni ya kuadhimisha Miaka kumi ya utawala wa Nyayo.
 

Attachments

  • Back.jpg
    Back.jpg
    27 KB · Views: 18
  • Face.jpg
    Face.jpg
    56.8 KB · Views: 20
Yeah. Ni commemorative (a special vile ulivyoitaja) wa mwaka wa 1991. Ni sawa na sarafu ya shilingi arobaini iliyotolewa mwaka wa 2003. Hata hivyo, sarafu ya shilingi 40 hutumika madukani.
Sawa ningeshangaa kuwa kuna coin ya 1000 inayotumika kwenye mzunguko wa kifedha.

Asante.
 
Back
Top Bottom