Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
Nafahamu rates zake tu. Mfano ukiwa na 1000 ya Korea unapata 1500 ya bongo. Hii ina maana hiyo PESA ya Korea uliyonayo zidisha kwa 1.5 utafahamu utapata Tsh ngapi.
My take: Usipoteze nauli nyingi ukizani una bingo kubwa usije ukarudi nyumbani kwa miguu.
ana bureau de change?,iko wapi?Mpelekee Mwigulu Nchemba
Mkuu ulijuaje,nna buku 2,nikadhani mambo kama USD,hahaha.
Kaka hizo pesa ni chini ya Tsh 26,000/na unataka kufunga safari kwenda kubadilisha ubalozini???kazi kweli kweli.
ngoja niirudishe nilikoitoa.[/QUOTE
]
Nilishawahi kwenda maduka ya posta nikaambiwa watanibadilishia kwa 1000 won kwa 400 shs
Mkuu ulijuaje,nna buku 2,nikadhani mambo kama USD,hahaha.
Kaka hizo pesa ni chini ya Tsh 26,000/na unataka kufunga safari kwenda kubadilisha ubalozini???kazi kweli kweli.
26,000 kwako si pesa maskini wewe! Sijui kwanini maskini hupenda kujikweza! Kwahiyo aitupe??