Pesa ya Korea

Pesa ya Korea

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
Habari zenu wadau
Nina pesa ya Korea kusini nataka niibadili katika shilingi,duka gani hapa dar naweza kupata chenji,maana nimejaribu airport nimekosa.
 
Mh,hizo hela zingine hata wauza hela wanaziogopa.....watamuuzia nani...
 
Nafahamu rates zake tu. Mfano ukiwa na 1000 ya Korea unapata 1500 ya bongo. Hii ina maana hiyo PESA ya Korea uliyonayo zidisha kwa 1.5 utafahamu utapata Tsh ngapi.

My take: Usipoteze nauli nyingi ukizani una bingo kubwa usije ukarudi nyumbani kwa miguu.
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Nafahamu rates zake tu. Mfano ukiwa na 1000 ya Korea unapata 1500 ya bongo. Hii ina maana hiyo PESA ya Korea uliyonayo zidisha kwa 1.5 utafahamu utapata Tsh ngapi.

My take: Usipoteze nauli nyingi ukizani una bingo kubwa usije ukarudi nyumbani kwa miguu.

Mkuu ulijuaje,nna buku 2,nikadhani mambo kama USD,hahaha.
 
Hiyo pesa nadhani inaitwa Won,Won moja = Tsh kama 13 nilikuwanayo siku moja tena kwa Dubai ambapo mzunguko wa pesa za kigeni ni mkubwa lakini ilichukua mda sana kuibadilisha maana kila nilipoipeleka waliikataa maana wanunuzi lengo lao ni kuuza lakini kwa Won ni ngumu kuiuza demand yake ni ndogo sana.Kwa Dar itakuwa kazi sana.
 
Mimi nilikuwa nazo elfin mbili wakaniambia zote wanipe 600/= mwisho wa Siku vibaka walikuja wakatoboa wavu dirishani wakabeba


Sent from my iPad using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
26,000 kwako si pesa maskini wewe! Sijui kwanini maskini hupenda kujikweza! Kwahiyo aitupe??

Nauli ya kwenda na kurudi ubalozini na usumbufu wa maaskari na mda ataopoteza na si lazima ubalozini wabadilishe maana si sehemu ya kubadilishia pesa!!kuna mambo mengi sana ya kufikiria kwanza..
 
Back
Top Bottom