Pesa ya kununua Twitter inaweza kufanya hivi

martial jb

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
863
Reaction score
1,462
Habari wakuu,

Je, wajua pesa aliyoitumia bilionea elon musk kununua twitter $44B inaweza ikanunua asset zote za bilionea mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ikiwemo mitandao yake ya Facebook, instagram, whatsapp, meta platform na hata yeye mwenyewe!!???

Je, unajua pesa hiyo inauwezo wa kununua assets zote kwa pamoja za mabilionea Aliko Dangote, Mo Dewji, Bakhresa, GSM na Mengi. Na kuwaacha hawana kitu kabisa kama mimi!!??? [emoji16][emoji16][emoji16]

Hii ndio nguvu ya Pesa ya mtaalamu Elon Musk, ambaye unaweza mchukilia kawaida ila kiukweli si binadamu wa kawaida huyu mwamba.

Tutafute hela.
 
$44bln =101 trillion tsh

mark anacheza kwenye $80bln,achana na thamani ya Meta technically haiwezekani.

ila kwa hawa Mo,aliko na wenzake,tuache hizi story maana anaweza akaanza kuwapanga awanunue.
Nani alikwambi mark ana hiyo worth
 
Huwa si-quote trash/takataka kama hz lkn ngoja leo iwe exception.

Ww unajua market cap ya meta? Meta juzi at closing ilikua na market cap ya Billion 368.05 USD. Twitter imenunuliwa kwa Billion 44, sasa unakuja kuongea au kuharisha hapa.

Na unasema hio hela imnunue mark zuck, hv unajua thaman ya kucha yake ni zaidi ya thamani ya trashes kama ww hapo?

Watu mnaingiza ushabiki wa kipuuzi kwenye issue za maana, inachukiza sana.

Siku nikiinunua JF nafuta kabisa ID zote za 2021 na 2022 ni zimejaza upuuzi mtupu. Hawana la maana la kuongea humu ni kuandika takataka tu
 
Huwa si-quote trash/takataka....

Ww unajua market cap ya meta? Meta juzi at closing ilikua na market cap ya Million 368.05 USD. Twitter imenunuliwa kwa million 44....
Unapiga mkwara mbuzi halafu unaandika "faeces"
 
Twitter imenunuliwa kwa $44B, sio million
 
Unapiga mkwara mbuzi halafu unaandika "faeces"

Unatumia advantage ya TYPING ERROR. What a cheap trick, pathetic.....

Nsharekebisha hio TYPO. I meant BILLIONs sio MILLIONs.

ongea point. I had a point huwezi nunua kitu cha zaidi ya billion miambili kwa billion 44.
 
Pesa pesa pesa 😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…