martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Habari wakuu,
Je, wajua pesa aliyoitumia bilionea elon musk kununua twitter $44B inaweza ikanunua asset zote za bilionea mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ikiwemo mitandao yake ya Facebook, instagram, whatsapp, meta platform na hata yeye mwenyewe!!???
Je, unajua pesa hiyo inauwezo wa kununua assets zote kwa pamoja za mabilionea Aliko Dangote, Mo Dewji, Bakhresa, GSM na Mengi. Na kuwaacha hawana kitu kabisa kama mimi!!??? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ndio nguvu ya Pesa ya mtaalamu Elon Musk, ambaye unaweza mchukilia kawaida ila kiukweli si binadamu wa kawaida huyu mwamba.
Tutafute hela.