Pesa ya kununua Twitter inaweza kufanya hivi

Kwa Zuckerberg hapo pana ualakini. Ila kwa hizi takataka zingine sijui Dewji Dangote Bakhresa Mengi n.k anaweza kuwanunua wakaenda kuwa shamba boys wake [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio I keep feeding you what you ned(kula na hio)

Si ndo unataka hicho
Acha ujuaji kuna wenzako wanalia kisa kujifanya wajuaji,
Sasa Mark ana nn cha ajabu cha kumtisha Elon, $244 kwa $38 billions, utajiri wa Elon ni mara sita zaidi ya utajiri wa Mark
 
We jamaa unafurahisha sana! Hata kama unakosoa huo si ukosoaji bali ni ushamba, na kiingereza chako cha TEKU
Ungekua na akili ungegundua nnachofanya, huyo mwenzako kafocus kutafuta typos badala ya kuongea point na typos ndizo nnazompa.

Af comment yangu moja unai-double quote unaonesha namna gani huna akili. Nyie watoto wa juzi humu jf mmekuja kuharibu kila kitu humu.

Sina sababu ya kuprove kiingereza changu hapa, na hio inaonesha namna gani mko na inferiority complex na ushamba, watumwa wa fikra nyie.

Najuta hata kwa nn nmecomment kwenye huu uchafu uloandika hapa. Sitokuquote tena endelea kuandika takataka zako ila ukweli unajulikana Meta ina thamani zaidi ya twitter na huwezi kununua Meta kwa hela ilotumika kununua twitter.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom