Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Kwa Zuckerberg hapo pana ualakini. Ila kwa hizi takataka zingine sijui Dewji Dangote Bakhresa Mengi n.k anaweza kuwanunua wakaenda kuwa shamba boys wake [emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa.Unatumia advantage ya TYPING ERROR. What a cheap trick, pathethic.....
Ndio I keep feeding you what you ned(kula na hio)Poa poa.
We jamaa unafurahisha sana! Hata kama unakosoa huo si ukosoaji bali ni ushamba, na kiingereza chako cha TEKUNdio I keep feeding you what you ned(kula na hio)
Si ndo unataka hicho
Acha ujuaji kuna wenzako wanalia kisa kujifanya wajuaji,Ndio I keep feeding you what you ned(kula na hio)
Si ndo unataka hicho
Ungekua na akili ungegundua nnachofanya, huyo mwenzako kafocus kutafuta typos badala ya kuongea point na typos ndizo nnazompa.We jamaa unafurahisha sana! Hata kama unakosoa huo si ukosoaji bali ni ushamba, na kiingereza chako cha TEKU
SawaUngekua na akili ungegundua nnachofanya, huyo mwenzako kafocus kutafuta typos badala ya kuongea point na typos ndizo nnazompa.
Af comment yangu moja unai-double quote unaonesha namna gani huna akili. Nyie watoto wa juzi humu jf mmekuja kuharibu kila kitu humu.
Sina sababu ya kuprove kiingereza changu hapa, na hio inaonesha namna gani mko na inferiority complex na ushamba, watumwa wa fikra nyie.
Najuta hata kwa nn nmecomment kwenye huu uchafu uloandika hapa. Sitokuquote tena endelea kuandika takataka zako ila ukweli unajulikana Meta ina thamani zaidi ya twitter na huwezi kununua Meta kwa hela ilotumika kununua twitter.