Pesa ya kuomba sio mzuri tafuta pesa

Pesa ya kuomba sio mzuri tafuta pesa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow

Huwa kuna mda naumia sana nikiona mwanamke up now anategemea kuomba pesa kutoka kwa bwana wake au mtu yoyote kama upo hai tafuta pesa yako pesa ya kuomba inamasimango unakuta mwanamke up hela ya pichu anaomba hayo sio maisha tafuta pesa yako atakama mumeo au mtu wako ataki ufanye kazi force mtu sio wakumuekea garantee kuna kufa kuna kuachwa mwanamke unaachwa up hela ya nauli ya kurudi kwenu huna unakopa kopa ni aibu tafuta pesa
 
NGOJA WAJE KUKUWASHIA MOTO. NIPO HAPA NAANGALIA TU HUU MPAMBANO. HAYA MANENO HAWAYAPENDI KABISA
 
Back
Top Bottom