Pesa ya kuomba sio mzuri tafuta pesa

Pesa ya kuomba sio mzuri tafuta pesa

Hellow

Huwa kuna mda naumia sana nikiona mwanamke up now anategemea kuomba pesa kutoka kwa bwana wake au mtu yoyote kama upo hai tafuta pesa yako pesa ya kuomba inamasimango unakuta mwanamke up hela ya pichu anaomba hayo sio maisha tafuta pesa yako atakama mumeo au mtu wako ataki ufanye kazi force mtu sio wakumuekea garantee kuna kufa kuna kuachwa mwanamke unaachwa up hela ya nauli ya kurudi kwenu huna unakopa kopa ni aibu tafuta pesa
Wewe sijui upo dunia gani kwa sasa hadi wapo wanaume wanaomba pesa hiyo ndiyo mbaya zaidi bora mwanamke ..kwanza akili zao ni ndogo hivyo siyo mbaya wao kuomba pesa.
 
Sijamaanisha hivyo kuna mdau humu alikuwa ana nyodo na kuponda sana watu na kuwaona ambao hawana hela ni Wazembe na hawana akili lakini sasa hivi yupo juu ya mawe anaomba 5k mpaka unamuonea huruma aisee
Duh maisha hayana mwenyewe
 
Back
Top Bottom