Pesa ya tuzo ya mchezaji bora wa mechi South Africa ni sawa na hela ngapi ya kwetu hii? Tuna safari ndefu

Wana wachezaji wengi wa kigeni

hujanielewa mkuu, South Africa investment kwenye Ligi ni kubwa sana ukilinganisha na Bongo, Ila viwango vya ubora wa ligi vinalingana. Hata rank za CAF ukitizama utajionea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…