Mamelodi utamringanisha na timu gani hapa Tzhujanielewa mkuu, South Africa investment kwenye Ligi ni kubwa sana ukilinganisha na Bongo, Ila viwango vya ubora wa ligi vinalingana. Hata rank za CAF ukitizama utajionea.
Wale wanamchezaji mpaka billion 7 mmoja tu huyo
Wakati uku 20billion ndio muwekezaji club
Mamelod katoa wachezaji nane first eleven timu ya taifa....timu gani imefanya hivo africa
Match zao zinaoneshwa superspot hapa bongo nani anaweza hayo
Timu zao CAF zinafika mbali sio km sisi