Mamelodi utamringanisha na timu gani hapa Tzhujanielewa mkuu, South Africa investment kwenye Ligi ni kubwa sana ukilinganisha na Bongo, Ila viwango vya ubora wa ligi vinalingana. Hata rank za CAF ukitizama utajionea.
Yaani huyo uliyemquote ndo amesha ikokotoa hapo kwa Tanzanian Shillings. 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23] mtani wallah sijui mie.
Kwa miaka hii mitano ya karibuni timu zao zimefika mbali wapi kwenye Cafcl na Caf confederation?Mamelodi utamringanisha na timu gani hapa Tz
Wale wanamchezaji mpaka billion 7 mmoja tu huyo
Wakati uku 20billion ndio muwekezaji club
Mamelod katoa wachezaji nane first eleven timu ya taifa....timu gani imefanya hivo africa
Match zao zinaoneshwa superspot hapa bongo nani anaweza hayo
Timu zao CAF zinafika mbali sio km sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] nkauliza kwa mchezaji wa huku anapata ngapi?Yaani huyo uliyemquote ndo amesha ikokotoa hapo kwa Tanzanian Shillings. [emoji28][emoji28]
SIdhani kama hiyo ipo zaidi ya mchezaji bora wa mwezi.[emoji23][emoji23][emoji23] nkauliza kwa mchezaji wa huku anapata ngapi?
Unamjua mshindi wa super league mwaka janaKwa miaka hii mitano ya karibuni timu zao zimefika mbali wapi kwenye Cafcl na Caf confederation?
Mamelodi utamringanisha na timu gani hapa Tz
Wale wanamchezaji mpaka billion 7 mmoja tu huyo
Wakati uku 20billion ndio muwekezaji club
Mamelod katoa wachezaji nane first eleven timu ya taifa....timu gani imefanya hivo africa
Match zao zinaoneshwa superspot hapa bongo nani anaweza hayo
Timu zao CAF zinafika mbali sio km sisi
Mkuu samahani, naomba kujua hiyo rank ya CAF inawekwa in terms of percentage or number? Na vp ujawahi kuona namba 3 anamzidi bamba 5 kwa asilimia 50?umenichekesha sana mkuu, Sasa kuonyeshwa SuperSports ndio nini?
Mimi nimezungumzia Ligi wewe umeleta story za Mamelody, Nenda katizame rank za CAF uone utofauti wa Ligi ya Bongo na South ni mwembamba sana, licha ya kuwa uekezaji nani ya south ni mkubwa sana.
mbna jana wametoa na south wapo juu yetu kwann mbishi .....uko chini unaforce ulingane na wajuuumenichekesha sana mkuu, Sasa kuonyeshwa SuperSports ndio nini?
Mimi nimezungumzia Ligi wewe umeleta story za Mamelody, Nenda katizame rank za CAF uone utofauti wa Ligi ya Bongo na South ni mwembamba sana, licha ya kuwa uekezaji nani ya south ni mkubwa sana.