masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
- Thread starter
-
- #21
hela ya bure...bila kupata hudumaKam ukifuatisha kanuni ya matumizi ya pesa utaona kwamba hao unaosema wanakula pesa yako, pengine ni 10% to 15% tu ya pesa yako...
Pesa nyingi huwa inapotea kwenye matumizi ya kawaida na matumizi ya lazima, huku ndipo hela zetu huliwa na watu waliopo huko...
Mathalani genge au duka ambalo umezoea sana kufanya manunuzi, fundi gari uliyemzoea na anakutengenezea gari lako yeye tu, msusi au mtengeneza nywele, kucha n.k wanaokutengeneza kila wiki 2 n.k n.k
tena hadi nje ya nchinasomesha watoto wa kanji
tena hadi nje ya nchinasomesha watoto wa kanji
sana aiseeInasikitisha sana
Kwaiyo ukoje kimuonekano kama ww cio mrembomimi sio mrembo
ila poa viipo
Pesa yangu inaliwa na petrolWa kwanza kabisa wanangu kisha wazazi
kisha ndugu zangu watumbo moja la mama
Na huyu special case "Ba mtu" ki ukweli nampa ila atailipa either in kind or in cash
Ukiacha na hizi case zingine kama misaada na sadaka
Ila hiyo ndo list yangu ya mda wote
Cha mlevi huliwa na mgemaView attachment 3585870
Kabisaaaaa .
Maana tulianza watoto wakafuata na wanakuwa wanaondoka tutabaki wawili.