TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Habari wakuu
Mimi nimfanya biashara wa duka la rejareja kwa muda mrefu ila ndani ya mwezii kinamatukio matatu yametokea yameniweka mdomo WAZI pesa za mauzo zinapotea zote kimazingira
Tukio la kwanza kwenye Droo kumeondoka ela ya mauzo elf 11 baadae ya KUUZA mara ya pili elf 15 Hadi naleta uzi huu leo mbichi kumeondoka elf 28 msaada wakuu hili linaweza kuwa kopera?