Pesa za biashara kuchukuliwa zote kwenye droo ya kuhifadhia pesa kimazingira

chuma ulete mkuu
kuna kastory kafupi dada yangu kama miezi miwili hivi imepita kahamia mitaa ya manzese baresa sasa siku ya kwanza kaamka anafanya usafi sebuleni akaokota elfu 30 akaificha akijua shemeji ndo kaidondosha, siku ya pili akaokota tena elfu 30 na siku ya tatu vile vile akaogopa akaamua kumwambia mume wake. siku ya nne akaokota tena hali hiyo ikaenda mpaka siku saba yaani wiki kila siku wanaokota elfu 30 eneo lile lile. baada ya wiki wakasikia hodi mzee kumbe ndo alikuwa mpangaji kabla ya wao kuingia akawaambia kuwa kuna mzigo wake aliusahau amekuja kuuchukua wao kwa haraka wakajua zile hela wakataka kumpa hela akakataa akawaambia wamruhusu aingie ndani achukue mzigo wake. waka mruhusu kumbe kuna sehemu aliweka ka kamba keusi kanining'inia akakachukua akawashukuru na pesa akawaachia. toka hapo hawakuokota tena pesa. uchawi hupo jamani tumwombe sana Mungu.
Dadeki watu wanapiga pesa kiulaini san.. yaan kauzi tu
 
Attachments

  • IMG_20241007_210105_760.jpg
    IMG_20241007_210105_760.jpg
    362.1 KB · Views: 2
Pole sana mkuu

Kiukwel matukio kama haya yanarudisha NYUMA Hali ya kupambana inahitaji moyo mgumu kurudi kwenye mstarii
Imagine kipindi cha korona shule zote zimefungwa, vyuo vimefungwa biashara hazilipi then unapigwa Pesa yote hyo duh!!!! Inakata sana
 
Habari wakuu

Mimi nimfanya biashara wa duka la rejareja kwa muda mrefu ila ndani ya mwezii kinamatukio matatu yametokea yameniweka mdomo WAZI pesa za mauzo zinapotea zote kimazingira

Tukio la kwanza kwenye Droo kumeondoka ela ya mauzo elf 11 baadae ya KUUZA mara ya pili elf 15 Hadi naleta uzi huu leo mbichi kumeondoka elf 28 msaada wakuu hili linaweza kuwa kopera?
Uko mji gani
 
Hahaaa kumbuka vizuri bana. Hebu eleza mtiririko mzima wa biashara yako kwanza isijekuwa kuna maaganonumeingia halafu unakuja kuzuga huku.
 
chuma ulete mkuu
kuna kastory kafupi dada yangu kama miezi miwili hivi imepita kahamia mitaa ya manzese baresa sasa siku ya kwanza kaamka anafanya usafi sebuleni akaokota elfu 30 akaificha akijua shemeji ndo kaidondosha, siku ya pili akaokota tena elfu 30 na siku ya tatu vile vile akaogopa akaamua kumwambia mume wake. siku ya nne akaokota tena hali hiyo ikaenda mpaka siku saba yaani wiki kila siku wanaokota elfu 30 eneo lile lile. baada ya wiki wakasikia hodi mzee kumbe ndo alikuwa mpangaji kabla ya wao kuingia akawaambia kuwa kuna mzigo wake aliusahau amekuja kuuchukua wao kwa haraka wakajua zile hela wakataka kumpa hela akakataa akawaambia wamruhusu aingie ndani achukue mzigo wake. waka mruhusu kumbe kuna sehemu aliweka ka kamba keusi kanining'inia akakachukua akawashukuru na pesa akawaachia. toka hapo hawakuokota tena pesa. uchawi hupo jamani tumwombe sana Mungu.
Acha uongo
 
Mkuu
fanya unipe connection ya huyo mzee
 
Back
Top Bottom