Huna mifuko ya suruali!?Habari wakuu
Mm nimfanya biashara wa DUKA la rejareja kwa MUDA mrefu ila NDANI ya mwezii kinamatukio matatu yametokea yameniweka mdomo WAZI pesa za mauzo zinapotea zote kimazingira
Tukio la kwanza kwenye Droo kumeondoka ela ya mauzo elf 11 baadae ya KUUZA mara ya pili elf 15 Hadi naleta uziii HUU leo mbichi kumeondoka elf 28 msaada wakuu hili linaweza kuwa kopera?
Jihadhari na wale panya wenye midomo mirefu wanambinu za kichina.Habari wakuu
Mm nimfanya biashara wa DUKA la rejareja kwa MUDA mrefu ila NDANI ya mwezii kinamatukio matatu yametokea yameniweka mdomo WAZI pesa za mauzo zinapotea zote kimazingira
Tukio la kwanza kwenye Droo kumeondoka ela ya mauzo elf 11 baadae ya KUUZA mara ya pili elf 15 Hadi naleta uziii HUU leo mbichi kumeondoka elf 28 msaada wakuu hili linaweza kuwa kopera?
Wajinga Sangoma mmeanza!Kwenye droo weka meno ya nguruwe na mkaa pia duka safisha kwa maji ya chumvi ya mawe kila asubuhi
Inatoshaachuma ulete mkuu
kuna kastory kafupi dada yangu kama miezi miwili hivi imepita kahamia mitaa ya manzese baresa sasa siku ya kwanza kaamka anafanya usafi sebuleni akaokota elfu 30 akaificha akijua shemeji ndo kaidondosha, siku ya pili akaokota tena elfu 30 na siku ya tatu vile vile akaogopa akaamua kumwambia mume wake. siku ya nne akaokota tena hali hiyo ikaenda mpaka siku saba yaani wiki kila siku wanaokota elfu 30 eneo lile lile. baada ya wiki wakasikia hodi mzee kumbe ndo alikuwa mpangaji kabla ya wao kuingia akawaambia kuwa kuna mzigo wake aliusahau amekuja kuuchukua wao kwa haraka wakajua zile hela wakataka kumpa hela akakataa akawaambia wamruhusu aingie ndani achukue mzigo wake. waka mruhusu kumbe kuna sehemu aliweka ka kamba keusi kanining'inia akakachukua akawashukuru na pesa akawaachia. toka hapo hawakuokota tena pesa. uchawi hupo jamani tumwombe sana Mungu.
Jaribu hiyo ...Nitafanya mkuu hili
Tura imefell niliweka tura 7 kwenye ndroo na mkaaa lakini pesa zikayeyuka Ivo ivo
Aah! Bado haujui kuwa kunapanya wa midomo mirefu hawachoki kuongea, kila siku mguu na njia na ule msukule wao toka Iringa.Panya Gani tena mkuu Ongezea Nyama