Pesa za dhahabu zitakwisha kesho tu! Je watauza nini ?

Pesa za dhahabu zitakwisha kesho tu! Je watauza nini ?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Pesa za dhahabu zitakwisha kesho tu! Je watauza nini ?

Mradi wa gas ambao una nukia ufisadi mkubwa ndiyo sehemu pekee ambayo bado haijauzwa kwasababu wamiliki wa EU na USA wamegoma kutoa rushwa. Hawataki kutoa 10% maana kisheria kwa hawa hasa USA ukitoa rushwa kama kampuni unapigwa fine kubwa sana mfano huo hapo chini.

"In 2007, Chevron Corporation agreed to pay $30 million to the U.S. Securities and Exchange Commission (SEC) and the Department of Justice to settle charges related to violations of the Foreign Corrupt Practices Act (FCPA) regarding corruption in Nigeria. "


Serikali fake ya Mama imeishiwa maarifa. Serikali zimegoma kutukopa maana watu wanatekwa, wanaibiwa kura sasa nani atawapa mikopo watu wa hivyo

Pesa hazitatumika kwa kitu cha maana. Raisi Samia anaenda Dubai na ndege ya watu mia tatu wakati kuna ndege ya Raisi !!! kwa matumizi haya pesa yote itaenda kuwahudumia yeye familia yake na wakina kikwete.
 
Sio zitaisha , sema zitaishia kwenye account za nje za majizi na mafisadi ya CCM.
 
Hizo zimepigwa,
Valentine ikiisha tushasahau litazuka lingine kabisa
 
Back
Top Bottom