Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
- Thread starter
- #21
beware of matapelis.Kama kuna mganga au mtu wa kuniunganisha nae anaetoa hizo pesa please ni DM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
beware of matapelis.Kama kuna mganga au mtu wa kuniunganisha nae anaetoa hizo pesa please ni DM.
Naomba kwanza mnipe connection nijaribu me mwenyew halafu nilete mrejesho, ctaki vya kusimuliwa mimi natak nione me mwenyew.Najua wewe mwanajamii mwenzangu ushawahi kusimuliwa ama kusikia kuhusu fedha hizo, au mtu mwenye nazo, au uko nazo basi huu ni uzi wa kushare nasi visa hivyo.
mimi niliwahi kusikia tajiri mmoja hivi huwa analala chini, na ana noti ya tsh elfu kumi ambayo haitumiagi miaka nenda rudi ndo inayomlindia pesa zake.
mwingine huwa anaoza ndo pesa zinaingia,wengine ati wana vidonda visivyo pona kadri vinavyooza ndo pesa zinaingia.....and so many blah blah blah.....
karibu share nasi.
poleni mkuu, changamoto hizo za utafutaji...ingawa huwa siamini hizo mbanga mpaka siku nitashuhudiakwa sisi wachimbaji visa ni vingi sana tumefanya na kuviona but ela za manyau ni kama unakunywa maji unaweza upate m15 na isimalize miezi 3.
nimeomba sana connection za hizo pesa sijapewa so acha nibaki na myths tuuu....mimi ni tomaso kama weweNaomba kwanza mnipe connection nijaribu me mwenyew halafu nilete mrejesho, ctaki vya kusimuliwa mimi natak nione me mwenyew.
Nilishashudia mtu kauza ML zake, 3 billions hapo ni 2016. Nimekuja kumuona last year may akaniomba buku 5,kwa sisi wachimbaji visa ni vingi sana tumefanya na kuviona but ela za manyau ni kama unakunywa maji unaweza upate m15 na isimalize miezi 3.
Ha ha ha! hata mimi nilikua siamini ushirikina mpaka siku nilishuhudia sauti ya kutisha ikitoka kwenye ka mti kamwembe aiseee sijikusahau 😀poleni mkuu, changamoto hizo za utafutaji...ingawa huwa siamini hizo mbanga mpaka siku nitashuhudia
Tulienda sumbawanga kwa mzee fulani kwa ajili ya dawa ya machimbo...aisee kabla ya kuongea chochote mzee akatuambia kila kitu tulicho fuata hadi gari tulilopanda na akatuambia tusipande tena lile gari muda wa kurudi...nilicho jiuliza mzee anakaa sumbawanga ndani ndani kabisa lakina alijuaje hadi magari mapya ya mbeya to chunya.