Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Twende kazi,
Songea Ilikuwa mwaka 2011 majira ya saa Tisa mchana nikiwa na rafiki yangu mudy watoto wa wanajeshi tukiwa tunatoka tution....tution tulikuwa tunasoma mtaa wa pili kutoka mtaa wa home kwa wenyeji wa Songea Kuna sehemu moja inaitwa mfaranyaki.
Ilikuwa inatulazimu kupita baadhi ya vichochoro kadhaa ili tutokee barabara kubwa.
Siku tukiwa tunapita kwenye kichochoro kimoja kwenye jumba bovu moja.ukipita kwenye kile kichochoro unatokea nyumba ya lile jumba bovu,wakati tunamaliza kupita kwenye lile jumba Mara ghafla kwa pembeni tunaona noti nyingi za pesa zimemwaga chini.
Wote tulishtuka...uku tukiangalia pembeni hakuna mtu yeyote anayetokea ikabidi me nizikusanye zile noti za pesa sehemu moja zote nikafunika rambo afu kwa juu nikaweka na jiwe.jamaa yangu mudy alikuwa muoga Sana mtoto wa geti Kali.
Na kipindi icho kulikuwa na tajiri mmoja maarufu Sana Songea jina x alikuwa anautajiri wa Majini masharti yake anatega hela sehemu ukiokota tu ukazitumia unakufa..... iyo skendo ilisambaa kipindi icho.
Ilipelekea na sisi tuwe na uoga.
Safari iliendelea mpaka karibu na home tukaachana hapo kila mtu akaenda kwao.
Nimefika home kabla ya chochote nikamtafuta kaka mkubwa mpaka nimpate ili tukachukue hela zile,mungu sio mpwayungu village Kama bahati nikamkuta geto kwake yupo na rafiki yake ikabidi nimsimulie kisa chote Cha zile hela.
Baada kunihoji zile hela ziko sehemu gani,tukaongozana nikampitia rafiki yangu mudy twende wote alikataa.
Ikabidi tuongozane mimi,kak mkubwa na rafiki yake mpaka pale kwenye hela tukakuta kupo vilevile Kama tulivyokuacha. Rafiki yake braza akatoa jiwe akafunua tutakutana na nyoka mkubwa mweusi.
Ikabidi tutoke mbio kunusuru maisha yetu kaka mkubwa Yuko mbela na rafiki yake wameniacha nyuma,breki ya Kwanza home kila mtu anahema.😁😁😁.
Kaka mkubwa akaniambia dogo siku nyingine usiwe unaokota vitu ovyo Kuna majini utakufa shauri yako
Siku ya pili nilivyomsimulia rafiki yangu mudy tulibaki kucheka tu.
Mpaka leo najiuliza zile pesa zilienda wapi au ndo Majini yenyewe.
Baada ya miaka mingi leo nimepita kwenye kile kichochoro bado kupo vilevile....
Npo Songea wakuu