NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Uswisi
Kwani lzm u-comment?Kariakoo
Wataalamu hivi pesa za nchi mfano Shilingi yetu huchapishwa nchi gani
au ni kampuni gani wanahusika na kuchapisha fedha za mataifa mbalimbali?[/hapa Sweden
Viwanda vingi vya pesa viko ujerumani lakini siku hizi mchina anateka soko kwa Kasi kubwa
Kama hutaki kumjibu si unyamaze, watu mna laana! Kesho ukasali isamehewe au ijumaa nenda msikitini utubuKariakoo
Tulizo nazo sasa zilichapwa Sweden, kama unakumbuka zililalamikiwa kuwa sio imara zinachanika hovyo- 500 shilling note for example1Wataalamu hivi pesa za nchi mfano Shilingi yetu huchapishwa nchi gani
au ni kampuni gani wanahusika na kuchapisha fedha za mataifa mbalimbali?
Viwanda vingi vya pesa viko ujerumani lakini siku hizi mchina anateka soko kwa Kasi kubwa
kama mchina kaanza kutengeneza na pesa bc kaz ipo
Alitengeneza mabilioni feki ya dola mpaka Ikabidi mmarekani abadili pesa zake kwenye baadhi ya alama na kuongeza alama nyingine za Siri ili kumdhibiti mchina ndio maana mara nyingi dola za 2004 kushuka chini hazikubaliki sehemu nyingi
Ala! ndo maana zangu ziligomewa 2004 nauliza sababu bank teller anaishia kucheka cheka tu
Sisi tuliokua zamani zilikuwa zikichapishwa peramiho songea...